Afrika Ijitegemee Huduma za Afya - PM Nchemba

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
889
Reaction score
774
Nchi za Afrika zinapaswa kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

πŸ“Arusha-Tanzania
πŸ—“οΈSeptemba 09, 2026
β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”β€”-
Ameyasema hayo wakati alipomwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi rasmi wa Mkutano wa Pili wa Kimataifa wa Huduma za Afya ya Msingi unaofanyika jijini Arusha, uliokutanisha zaidi ya washiriki 2,700 kutoka mataifa 27.
Your browser is not able to display this video.
 
Jana Daktari kampiga ngumi askari trafiki.

Miezi miwili nyuma daktari alimpiga ngumi nesi.

Hii kada iokolewe watu wake kwanza wakati miundombinu inawekwa sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…