Afrika hivi bila maandamano hamna haki? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Afrika hivi bila maandamano hamna haki?

Discussion in 'International Forum' started by Prince edu, Apr 20, 2012.

 1. P

  Prince edu Member

  #1
  Apr 20, 2012
  Joined: Dec 16, 2011
  Messages: 78
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaan bara la Afrika kila jambo wanalolitaka hutumia njia ya maandamano hivi hamna kabisa njia nyingine ya kupata haki zao muda.hivi juzijuzi Misri maandamano tu! WHY THIS?
   
 2. M

  MOSSAD JACOB Member

  #2
  Apr 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na ndicho cha fata tanzania.mafisadi wamegoma kung'oka wao wenyewe kifuatacho ni nguvu ya umma kuwatoa na kila anayeipenda tanzania na kuchukia madudu haya chonde chonde jitokezeni .tukiungana twaweza tuchukue hatua sasa tena vijana ndiyo wa msingi sana.
   
 3. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Sio Bara Africa pekee, dunia nzima.
   
Loading...