Yaan bara la Afrika kila jambo wanalolitaka hutumia njia ya maandamano hivi hamna kabisa njia nyingine ya kupata haki zao muda.hivi juzijuzi Misri maandamano tu! WHY THIS?
Na ndicho cha fata tanzania.mafisadi wamegoma kung'oka wao wenyewe kifuatacho ni nguvu ya umma kuwatoa na kila anayeipenda tanzania na kuchukia madudu haya chonde chonde jitokezeni .tukiungana twaweza tuchukue hatua sasa tena vijana ndiyo wa msingi sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.