Wewe Utakuwa Binamu yake Shetani.Kisaidia nini?
Mfyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Hata Salam za pole hakuna??Afrika ina tatizo gani, hadi sasa haijatoa msaada wowote ule, hata wa watu kwenda saidia Turkiye katika usaidizi wa kuokoa watu....
Ukraine iko vitani ila inapeleka watu
Lebanon imepeleka watu
India imepeleka watu, madawa, mbwa, vifaa
China imepeleka watu ( waliojitolea)
Marekani inapeleka watu, vifaa, madawa
Urusi imepeleka watu na madawa
Afrika tuna tatizo gani?
Lile tetemeko limeshusha nyumba zaidi ya 6000 hawataweza wenyewe.
JWTZ wamekaa tu hawana kazi, kwanini serikali isiwapeleke kusaidia?
Hatuna msaada zaidi ya…Tweet sio msaada
Waafrika sisi ni tatizoWatoe ndege maana Turkey wamefuta visa kwa wanaoenda saidia
Tunahitaji msaada ili tukatoe msaada[emoji23]Kuweza kufika huko tunahitaji msaada, sa itakuaje
Hakuna tunachoweza nakwambiaTunahitaji msaada ili tukatoe msaada[emoji23]