Africa’s longest serving Presidents

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Africa's Longest Serving Presidents

1. 78-year-old Teodoro Obiang Mbasogo | Equatorial Guinea (since 1979).

2. 87-year-old Paul Biya | Cameroon (since 1982).

3. 76-year-old Yoweri Museveni | Uganda (since 1986).

4. 77-year-old Denis Sassou Nguesso | Congo (since 1997). He was also the President from 1979-1992.

5. 68-year-old Idriss Deby | Chad (since 1990).

6. 74-year-old Isaias Afwerki | Eritrea (since 1993).

7. Paul Kagame | Rwanda (since 1994).

8. 74-year-old Ismaïl Omar Guelleh | Djibouti (since 1999).

9. Faure Gnassingbé | Togo (since 2005).

1611681344000.png

1611681377493.png


1611681430251.png


1611681486361.png

1611681516420.png

1611681541507.png
 
Miaka ya 80 mwishoni
Museveni aliwahi kumsifu

Hayati Baba wataifa
kwa
Udhubutu wake waku"ng'atuka"

Nakuwaachia vijana uongozi...

Sijui museveni wa leo anakwama wapi?
It was a strong statement on the part of M7 with the implication that Mwalimu shouldn't have undergone such unwarrantable process of ^kung'atuka^
 
Hawa unakuta wanaendesha nchi kwa mawazo yaliyopitwa na wakati kabisa. Hao wa 70 na 80 wanaendesha kama bado tuko kwenye vita baridi. Wanachofanya wanahakikisha jeshi na nafasi nyeti wameweka watu wa kabila lao. Hapo ni mwendo mdundo tu.
 
Najua niko nje ya mada ila yule mbibi huwa anatukuzwa mnoo na watu bila kumsema ila hawa wa kwetu inakuwa tabu.
tofautisha kati ya rais na malkia/mfalme ndugu mseveni angekua mfalme asingekwepo kwenye list hiyo mkuu mfano mbona hawajamweka king mswati hapo au mfalme wa Morocco? Toa ujinga basi wangetaka kutawala milele na wasilaumiwe wangejipa title ya u falme, ila kama kajipa title ya rais atabanduliwa tu IPO siku!
 
Miaka ya 80 mwishoni
Museveni aliwahi kumsifu

Hayati Baba wataifa
kwa
Udhubutu wake waku"ng'atuka"

Nakuwaachia vijana uongozi...

Sijui museveni wa leo anakwama wapi?
Alimsifu kwakua alijua kung'atuka ni ngumu sana huoni yeye ameshindwa, nafikiri hadi sasa anajiuliza nyerere aliwezaje
 
Back
Top Bottom