Penehupifo Pohampa-Namibia.
Angola first lady - Ana Jose Dos Santos
Grace Mugabe
Hajia Turai Yar`Adua-Former first lady Nigeria.
Mkuu nimekukubali kwa hii picha ya marehemu rais Yar' Adua wa Nigeria akiwa kijana sana na mkewe na mwanae, picha hizi naona nfdiyo nzuri sna unapata sura akiwa kijana sana na akiwa mkuu wa nchi
And who is this young lady?
Mama Lucy Kibaki sura yake mmmmmmmmmmmmmmmm hata chichemi
She is a very mysterious woman, do not cross her red wire...
du! Ndio maana aliwapiga waandishi wa habari na kuwatishia maisha baadhi ya mawaziri wa pnu