Africans are "misplaced human beings" in this planet

Kuna tatizo kubwa la asili kuhusu mwaafrika linalotutesa mpaka leo hii.
Ndio haya ya madini leo hii.

Sisi tuliumbwa kutawaliwa na hawa watu na hii ni kutokana na ujinga wetu.

Ujinga huu ni pamoja na kusaini hii mikataba ya hovyo hovyo.
 
Najivunia uafrika wangu. Hatukuumbwa kwa bahati mbaya wala hatujawa misplaced. Hebu jiangalie ngozi yako, healthy na iko very strong kuhimili chochote, strong body.... , na akili pia tunazo.

Kinachotokea ni kwamba .... tulibweteka kwa kuwa hatukuwa na shida ya chochote. Sie hata tukilala majanini na mitini hakuna tatizo la ngozi wala nini. Angalia wazungu, kwa jinsi walivyo maselule ndio maana wanahangaika huku na kule ili angalau wasiugue. Si unajua kwenye miti hakuna wajenzi.... ndio africa. Hawa wengine wanahangaika kwa kuwa hawakustahili kuwepo duniani..... Ngozi nyeusi raha banaaaa......... ndoho taabu!
 
Umenikumbusha daktari bingwa wa upasuaji wa ubongo marekani na mwanasiasa anayewakilisha chama cha Republicans,chama ambacho ni nadra kumkuta mtu mweusi anayekishabikia,naye si mwingine ni Dr Ben Carson ambaye amekuwa akiwakebehi watu weusi.Mwanzoni nilikuwa na mshangaa na kutomuelewa,lakini nilipokutana na African-Americans nikagundua kwa nini huyu mtu japo ni mwenye asili ya Africa mzaliwa wa Marekani lakini anajaribu kujidistance na hao wenzake.Kwa sababu ya vijitabia ulivyovisema mkuu.Wazungu wanatushangaa sana.Angalia viongozi wetu,ambayo ni broad picture ya tabia zetu,ndo utajua sisi ni binadamu was ajabu.Angalia ya Zuma,Mugabe etc
 
Mtoa mada anaonyesha kuwa sehemu kubwa ya maisha yake ameyatumia kwa kufanya kazi za ndani kwa wazungu...au ameishi ulaya katika sehemu yenye ubaguzi wa kiwango cha juu sana.....

Kama hao wazungu wangewaza kama yeye wakati maendeleo yalipoongozwa na nchi za mashariki ya kati basi hata hao weupe anaowaabudu angewanyea pia!
 
Soma hapo nilipo-bold ndio ujue mtu mweu ni kama alilaniwa.

Haya yanayoendelea sasa ni ushahidi tosha.
 
Kimsingi hao wenye tekinolojia ni watumishi wa Waafrika, wao wanaumiza kichwa wanagundua vitu vizurizuri, Mwafrika yeye kazi yake ni kutafuta pesa na kuvitumia tu, hamna haja ya kuumiza kichwa
MWafrica aliye tajiri kabisa anashika nafasi ya ngapi kwa utajiri duniani?
 

Ni kama kuna ka ukweli kidogo

Mi mwenyewe uwa najiuliza sisi ngozi nueusi tuna tatizo gani
 
Ni kama kuna ka ukweli kidogo

Mi mwenyewe uwa najiuliza sisi ngozi nueusi tuna tatizo gani

Kabla hujauliza kujumlisha wenzako, jiulize kwanza ni nini cha mhimu umeshafanya hapo ulipo, je umeshawahi kusomesha angalau watoto 2 wala wasiyo ndugu zako kabisa? if not you are the problem to start with.
 

CC: KakaKiiza
 
Shombo tu kama ya shithole mwenzio trump,wale wenye tabia za kishithole ndio waishi kwenye kwenye jungle
Upuuzi wa baadhi ya Africans mm haunihusu so usinijumuishe humo
 
wazungu ndiyo hawakustahili kuishi duniani kwa sababu wanategemea rasilimali kutoka mabara mengine!
Unadhani huko kwao hazipo. Endelea kujidanganya.

Hakuna easichokuwanacho.

Kama ni madini wamesitisha kuchimba ya kwao ili yako yaishe. Wanayo ya kila aina na wamewahi kuyachimba.
 
Kimsingi hao wenye tekinolojia ni watumishi wa Waafrika, wao wanaumiza kichwa wanagundua vitu vizurizuri, Mwafrika yeye kazi yake ni kutafuta pesa na kuvitumia tu, hamna haja ya kuumiza kichwa
Tatizo ni kusali badala ya kufikiria. Tunatatua matatizo yetu kwa sala badala ya kutumia sayansi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…