Satellite frequency eutelsat 7b
Frequency 10887 mhz
Polarity H
Symbol rate 30000
Channel hii nimeazisha wadau
Umeanzisha channel ipi?
FTA?
Can't see the images I posted 😂8ft on Sale.
Kitale town
@12 k, negotiable.
DM your bids. View attachment 2761422View attachment 2761423
FTA?
Iko sawaKuna mtu anayetumia hii kitu humu je vp kwenye ubora wakeView attachment 3403141
Ipi ni receiver bora kwa channel za habari, documentary, n.k. kutumia dishi? Ninekinai brand ya GT Media.
Pale AliExpress sijapaelewa
Nina meecast ni model mpya ambayo imeboreshwa signal ic yake ni strong pia ina mfumo wa iptv ina akaunt ya mwaka, unaweza kutumia ivo kawaida kwa dish au ukiwa na bando unajiachia tu na iptvMbona GT media ni the best umetumia model gani?
Thanks! Uliinunua wapi (mawasiliano kama inawezekana)? Bei gani?Nina meecast ni model mpya ambayo imeboreshwa signal ic yake ni strong pia ina mfumo wa iptv ina akaunt ya mwaka, unaweza kutumia ivo kawaida kwa dish au ukiwa na bando unajiachia tu na iptv
Kaka huduma ipo badoBinafsi nahusika na uuzaji wa Online TV (IPTV)
Katika SmartTv pia na Smartphone
Kifurushi cha mwezi ni Tsh.9,000/=
Hapo kuna
Live tv 23,000+
Movies 10,000+
Series 10,000+
Chaneli nyingi za ulaya,America,Africa n.k
Chaneli za DSTV 180+
Canal Afrique 150+
Azam tv 5 (azam 1&2 azam sport hd 1,2,3)
Movies ni nyingi saana latest
Ila kabla hujanunua natoa link ya Buree ambayo utaitumia kwa masaa 24 kuona hizo chaneli kama utalidhika nazo basi ndio tutafanya biashara,kwa Tsh.9,000/=
tafuta mediastar 4030 pro (ina processor yenye nguvu so uta enjoy hata IPTV ), achana na takataka za GT media hizoIpi ni receiver bora kwa channel za habari, documentary, n.k. kutumia dishi? Ninekinai brand ya GT Media.
Pale AliExpress sijapaelewa
Naomba msaada namna ya kuipata (muuzaji)tafuta mediastar 4030 pro (ina processor yenye nguvu so uta enjoy hata IPTV ), achana na takataka za GT media hizo
mwaka jana bei ilisoma 280k
chukua ya mdau juu hapo, naona ina specs sawa(processor, RAM, flash) na niliyo pendekezaNaomba msaada namna ya kuipata (muuzaji)