Technomate brand i guess have not made it yet to african market, and am having issues getting help with k***ys and aut**ll. hope jamii family will take my issues serious. Am Using TM 6902HD Combo
TM6902 HD combo, 78%Which box are you using and whats your signal quality ?
I copy that argument, really helpful. The reason of buying that was its a combo which has terrestrial and ftaThose are high end Western brands meant strictly for FTA. No patches for scrambled channels are ever released for them. Advantages; they're high quality and last
Disadvantages : They don't support the dark side.
I advice you get yourself a cheap newish Chinese decoder with regular patches if you want to join the rat race.
Huyu ndugu dish yake imeelkezwa 75deg. ila wasafi ipo 78.5.... atazipata satellite zote hizi kwenye dish yake moja ?Mita nne doh! Hilo jibakuli jameni!
Yafika futi 13 hivi. Na sio 18
Hivyo vituo ulivyo vitaja waweza kuvipata na kijibakuli cha futi sita tu!
Ubaya ya jibakuli kubwa kama hilo ni ngumu sana kulihudumia kama wewe sii mtaalam kamili. Tena mafundi wengi hawajazoea jibakuli kubwa kama hilo na badala ya kulitengeza wanaliharibu.
Ningekushauri ujipatie kijibakuli cha futi sita au nane. Sio ghali sana na mufundi wengi wanaweza lihudumia hata wewe mwenyewe. Bado kitakupatia vituo hivyo uliivyokua ukivipata katika hilo jibakuli kubwa.
Hadi ile siku utapata mtaalam maalum wa jibakuli kubwa.
Hapana LNB zipo 3 @68.5e,78.5e na 64.2eHuyu ndugu dish yake imeelkezwa 75deg. ila wasafi ipo 78.5.... atazipata satellite zote hizi kwenye dish yake moja ?
Naku nukuu Mkuu ! 😎
Ten sports unapata kwa decoder gan?Hapo kwenye upana maesabu yapo kando kidogo ila kwa mita ni 4(la wavu) na channel napata nyingi za india+.BO+S.ny+Ten+colours+nyingi za Bangladesh na Thailand+za ndani itv,tbc,ch10,capital na eatv...kama utakua fundi mzuri na upo dsm pls tuwasiliane pm(fundi wangu alihama mkoa nimechukua mafundi wa3 hakuna alie mtaalam wanapoteza channels zaidi badala ya kuongeza)
Napata kwa hii tiger t245+ pro lakini k..ys zinabadilika sana(napata zote ten1,2,3)
My friend! The guy is asking about WASAFI. The channel is FTA at 78, so no issues whatsoever!...
This is misinterpretation of the clause by tacra. The guys were supposed to air the channels as FTA and not as PTV or FTV. For the sake of FTA viewers, where is that clause which prohibits the service provider to air the channels?
...
Gomer! Be nice to others. Your comments have holes in there! We all have typo sometimes and the guy asked you nicely. After all, what's wrong with using Kiswahili?...
eroo! aka kaprati fomu ni kakimombo. Tumia jukwaa la ulimwengu_wa_satelite...
Tatizo jingine, hongera dish 18ft na huo mwelekeo !
Jamii forum inatujali, haina mambo ya kunyuti.
...
Hakuna shida ndugu yangu, hujafanya kosa lolote!Okey samahani kama nimekukwaza mimi nilijua nipo jukwaa la ufundi ambapo hakuna masharti ya luga(labda jukwaa la international) sasa mimi msukuma najua huku pia kuna waswaili wenzangu wanaweza kunipa msaada wa mawazo lkn hata ivo sikuona mantiki ya wewe kupendekeza mod wanyofoe comment yangu,ungepita kimya ingependeza zaidi mwenye anajua kikwetu angenisaidia btn huwezi enda forum za wenzetu kama wahindi hata kama asilimia kubwa wanatumia kingereza akitokea mmoja wao akauliza kwa luga yao ya kihindi ukute wanambeza..asante
Ok OK....sasa nimeielewa mitambo yako...kweli fundi wako ni hodari....na wewe pia unaujuaji jipe uzoefu... Tafuta dish kubwa.... asanteHapana LNB zipo 3 @68.5e,78.5e na 64.2e
Sijakuelewa nitafute dish kubwa kivipiOk OK....sasa nimeielewa mitambo yako...kweli fundi wako ni hodari....na wewe pia unaujuaji jipe uzoefu... Tafuta dish kubwa.... asante
Kiupana.... Futi sita ( mita moja nukta nane ) au ya futi nane...Sijakuelewa nitafute dish kubwa kivipi
This one from TCRA clears any doubts....
This is misinterpretation of the clause by tacra. The guys were supposed to air the channels as FTA and not as PTV or FTV. For the sake of FTA viewers, where is that clause which prohibits the service provider to air the channels?
...
Labda hujanielewa mbona nilishakwambia la kwangu ni kubwa zaidi ya hiloKiupana.... Futi sita ( mita moja nukta nane ) au ya futi nane...
Naomba ingeezekana upigwe picha umesimama kando ya dish hiyo
Kama ni mduara its more than mita 4 mwanga si wa kutosha saivi panapo majaliwa kesho nitakuwekea pichaMduara.....mita 4 ?
...12722 68.5e Ku . The TP that disappeared with SABCs a while back is back with a few new channels.