African Queen

255Gene

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
888
1,090
Habari za saa hii wanajamvii.

Hivi kuna mwimbo kwa wakati huu wa mapenzi (wa kiafrika) unaoweza kuufunika huu wimbo wa 2Face -African Queen?


Kwa upande wangu ndio mwimbo bora kabisa wa mapenzi uliowahi kutungwa kiafrika..
 
Back
Top Bottom