African pilgrims blamed for the Hajj stampede

African pilgrims blamed for the Hajj stampede

msemakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2014
Posts
1,627
Reaction score
880
Pilgrims indiscipline and failure to adhere to timetables has been blamed for the stampede at the Hajj pilgrimage in Saudi Arabia's holy city of Mecca.

In controversial statements, African pilgrims have been blamed for this indiscipline. Saudi-owned al-Arabiya TV reportedly quoted the head of the central Hajj committee, Prince Khaled al-Faisal, blaming the stampede on "some pilgrims with African nationalities".

Similarly, Saudi health minister Khaled al-Falih, told El-Ekhbariya television that "many pilgrims move without respecting the timetables [set by authorities, which was the] principal reason for this type of accident. If the pilgrims had followed instructions, this type of accident could have been avoided," ibtimes reported.

At least 717 people are reported to have died and and 850 injured in one of the worst tragedies to hit the holy city.

Saudi Arabia's crown prince, Prince Mohamed bin Nayef, has ordered an investigation into the tragedy following accusations over lax safety and security measures.

Source: BBC
 
Mezeni ikawa ukwel mchungu.kassim kayira kasema kua West Africans ndo wana fujo
 
Kweli dunia na Waafrika na Uafrika wetu Mungu ndiyo anayejua.
Uchunguzi haujafanyika ofisa wa juu tayari ameshusha lawama kwa Waafrika-nadhani hata wakifanya uchunguzi hautakuwa na lolote la maana tena-kweli muda kama huu ni wakurusha lawama ?

R>I>P wale wote waliofikwa na janga hili.
 
It is true people from Africa believe to die in that situation is to die Hollily....other go there with the intention of loosing the lives thinking that their death will be accepted in the heaven
 
Wasiwalaumu waafrika , wajilaumu wao yawezekana shetani alikasirika baada ya kurushiwa mawe
 
Na mwaka jana waliosababisha ni wananchi wa Bara gani,
Hivi Hawa jamaa ni aje
Yote haya nikutaka kuhadaa Dunia kwamba Wafrica hawana nidhamu au ni mbumbumbu! Lakini ukimuhoji kama Wafrika walihusika vile vile kudondosha CRANE ya ujenzi iliyo sababisha vifo na majeruhi wengi ndani ya Msikiti huko Mecca,sijui kama mwana wa Mfalme wa Saudia anaweza kutupatia majibu.

Serikali ya Nyumba ya Saudi wako sloppy sana linapokuja saula la safety standard kwa mahujaji, hii si mara ya kwanza kutokea maafa lakini inaelekea hawajifunzi kitu au dharau sijui, wamelewa sana Madaraka - kuna haja ya kuburuza familia nzima ya Kifalme huko the Hague wakajibu mashtaka ya vifo vya Mahujaji unaosababishwa na uzembe uliyo kithiri wa Serikali ya Saudia.
 
haya tumewasikia, tutajitengea maeneo ya kuhiji huku huku kwetu
 
Ila kuna source zina sema hilo janga lilisababishwa na prince wa Saudia aliye kua na Walinzi zaidi ya 410. Na alipo acha kufuata utaratibu ikaleta kunfusion na kupelekea stampede (mkanyagano). Sema Waafrika kwa kua hawana mtetezi bali viongozi wasio na uwezo wa kuhoji na waoga ikabidi watumike kama scape goat.
 
Hii kwa maana nyingine ni kwamba........hatuna ustaarabu..........na ni washamba........

r.i.p ndugu zetu mliopoteza maisha huko............
 
Hii naona ni tatizo la miaka nenda miaka rudi sijui kwanini mamlaka husika hazijifunzi.. Poleni ndugu zetu mliopoteza maisha
 
Suluhisho ni kuacha kwenda tu full stop tuone kama watakuja kupata visingizio
 
Lini Afrika itakuwa na Mungu wao.
Hakuna Mungu wa Waafrika ama Mungu a weuzi, ama wazungu. Mungu ni mmoja na ni wa wote. Isipokuwa kuna miungu ya mataifa na makabila. Tatiz o ni pale watu wanapodhanni wanamfata Mungu sehemu fulani wakati tunasema kuwa Mungu ni Omnipresent....yupo kila mahali na wakati wote. Pia wapo wanaodhani kuwa unaweza kumkaribia Mungu wakati fulani wa mwaka na sio wakati mwingine. Natamani hijja ingekuwa muda wote wa mwaka ili kupunguza mrundikano na vifo visivyo vya lazimaa
 
Kweli dunia na Waafrika na Uafrika wetu Mungu ndiyo anayejua.
Uchunguzi haujafanyika ofisa wa juu tayari ameshusha lawama kwa Waafrika-nadhani hata wakifanya uchunguzi hautakuwa na lolote la maana tena-kweli muda kama huu ni wakurusha lawama ?

R>I>P wale wote waliofikwa na janga hili.

Kama nchi za Kiafrika hazikufata "time table" iliyopangwa ulitaka wasiambiwe?

Kila uchunguzi na tafiti hufanyiwa kazi na ukienda Makkah kila mwaka kunabadilika na kufanya Hajj kuwa nyepesi zaidi kwa hizo tafiti na uchunguzi unaofanyika baada ya maafa.

Kuna mahema ya Waafrika yaliunguwa kwa kuwa walikuwa wanajipikia ndani ya mahema, tafiti na chunguzi zilipobaini hayo ikaamuliwa sasa mahema yote ni lazima yawe fire resistant na ndivyo ikafanyika na sehemu za kupikia zikawekwa na wapishi wawe maalum na si kila mtu kujipikia, inafanyika hivyo. Na pia chakula cha bure kinatolewa ili watu wasipike, maafa ya moto sasa hatuyasikii kutokea kwenye mahema.

Sehemu ya kupigia shetani, zimetengenezwa barabara pana sana za kwenda upande mmoja tu (one way) ili kusiwe na msongamano lakini watu hawafati huo utaratibu, wakawekewa muda wakwenda kila nchi (timetable) kwa sababu kila nchi hupangiwa mahema yao na huishi pamoja wakiwa huko, ili kuondoa msongamano lakini cha kushangaza inaonesha amma Waafrika wameshindwa kufata huo utaratibu kwa kuwa vyombo vyao vinavyoshughulikia Mahujaji havijawapa elimu ya kutosha Mahujaji wao amma ni kwa ubishi tu wa hao mahujaji na kujiona kuwa wao wanajuwa zaidi.

Uchunguzi ufanyike na hatua zichukuliwe ili kunusuru maisha ya watu.

Saudi Arabia wanajitahidi sana kupokea mamillioni ya watu wenye tabia tofauti kwa muda mchache, si kazi rahisi.

Waliopoteza maisha tunawaombea waghufiriwe na walazwe pema peponi. Waliopotelewa na ndugu, jamaa na marafiki zao tunawapa pole sana.
 
pains me.yaani ni waafrika ngozi nyeusi ndo wanaweza kusababisha haya,mungu hali ugali.n that pilgrim thing is just not soo sensible.we need an african god
 
pains me.yaani ni waafrika ngozi nyeusi ndo wanaweza kusababisha haya,mungu hali ugali.n that pilgrim thing is just not soo sensible.we need an african god
Bogus sana mnyake. One wonders the previous such incidences were caused by Africans.
Witnesses from Libya,India,Egypt and Iran saw it all. They say the Saudi authorities are to blame for the accident. The poor coordination of the crowd movements had nothing to do with the Africans, it wasnt their fault.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom