Pamoja na hayo haizuii watu kutoa maoni yao juu ya utawala wake.Watanzania ni wanafiki na malimbukeni wanaopenda mteremko kwenye kupata mafanikio....
Mlilia lia kikwete fisadi, huduma mbovu, wenye nacho wanasikilizwa kuliko wasionacho mkawa mnaomba usiku kucha atoke rais wa tofauti mkalli asiwe legellege like kikwete amepatikana mnaanza kulalamika ooh mara ivi mara kilikwenda kimerudi pumbavu kabisa.
Magufuli kanyaga mafuta twende wasikutishe.
Nikweli lakini imekuwa too much to the extent sasa....Pamoja na hayo haizuii watu kutoa maoni yao juu ya utawala wake.
Hakuna cha too much..... rais anaongoza watanzania mil 50 wenye fikra tofauti kwahiyo ategemee kupata changamoto zaidi ya hizo.Nikweli lakini imekuwa too much to the extent sasa....
Ikisoma bandiko hilo limejaa hadithi za mapinduzi mapinduzi na kutokamilisha mihula ya uongozi.
Hadithi kama hizi zinapandikiza threats na upumbavu, why now?
KWENYE BIBILIA WAMEANDIKA ATAKAE VUMILIA HADI MWISHO NDIO ATAKAE OKOKA lakini hapa tunaona kuna mipumbavu ambayo ilizoea kuiba imeshindwa kuvumilia kusubiri matunda, maziwa na asali yameanza kuleta choko choko.
Kwa mjibu wa katiba ibara ya 15, 17, na 18 unaruhusiwa kutoa maoni lakini kwa namna gani basi, kwa namna ambayo haivunji utu wa mwingine wala kumdharisha na kukashifu.
Na ukumbuke unavyo mkashifu raisi unakuwa umemkashifu kiongozi wa taasisi ya urais jopo lake halitakubali kuendelea kukashifiwa kwa namna yoyote ile na wao watajibu kwa njia yeyote ile kutetea taasisi yao.
Topic umeielewa lkn?Waliosema CDM ni nyumbxxx hawakukosea, yaani uchaguzi wa Ubunge makao makuu ya Ufipa mmeshindwa, Monduli kwa Rais wa mioyo yenu mmeshindwa halafu hapo hapo unaota kumshinda Magu Tz nzima.
KATAA KUWA NYUMBXXX.
Hakuna cha too much..... rais anaongoza watanzania mil 50 wenye fikra tofauti kwahiyo ategemee kupata changamoto zaidi ya hizo.
Kukosoa au kutoa tahadhari au kupinga kitu siyo kashifa wala kudhalilisha na ipo kisheria utaona ni kashifa kama hautapendezwa na unachokosolewa,
Mkuu unataka methodology gani sisi backbencher tutumie, mimi siyo mbunge kuwa nitaenda bungeni kushauri, siyo waziri nitaingia kwenye baraza la mawaziri kumshauri wala siyo mwanasiasa nitapata platform niseme, methodology yangu ya kushauri ni through mitandao ya kijamii bila matusi wala vitisho.Sijakataa maoni na ushauri ni vizuri kuendelea kutolewa kwa mjibu wa katiba yetu lakini kwa methodology zilizo nzuri zisizo za kukashifu na kudhihaki na vitisho juu.
In short methodology mnazotumia kushauri na kutoa maoni ni tactically wrong hakuna kiongozi duniani mwenye akili akasikiliza maoni au ushauri kutoka kwa njia na watu wenye kukashifu serikali au taasisi.
Mkuu unataka methodology gani sisi backbencher tutumie, mimi siyo mbunge kuwa nitaenda bungeni kushauri, siyo waziri nitaingia kwenye baraza la mawaziri kumshauri wala siyo mwanasiasa nitapata platform niseme, methodology yangu ya kushauri ni through mitandao ya kijamii bila matusi wala vitisho.
Hivi kusema kuna one term presidents ni kumtisha rais, basi rais wa kutishwa hivyo hafai kuwa rais, afterall Ikitokea haitakuwa ajabu na hatakuwa wa kwanza kuwa one term president Tanzania, Abdul Jumbe alikuwa one term president.
Sawa... hivi umejiuliza ni kwanini leo watu wameanza kuwa na mawazo ya 'one term president' kwanini haikutokea kwa Mkapa wala kipindi cha Kikwete?Katika kutoa maoni yetu kwa ajili ya nchi yetu tusitumie maneno yenye kukashifu,kudhihaki, na kutukana mamlaka.
Kama ulivo sema wewe hutukani,hudhihaki wala kutoa maneno yenye kutishia us alama na ustawi wa nchi. Lakini tambua kuna watu wengine wengi tu hutumia mitandao kuzusha, kudhihaki, kutukana mamlaka nk.
Maoni yanayotolewa kwa staha husikilizwa na kufanyiwa kazi hata kama sio kwa haraka lakini hushughulikiwa.
Kuhusu vitisho...
Unadhani nchi ambazo viongozi wake walipinduliwa au waliondolewa kabla ya mihula yao kuisha nchi hiyo zimetulia. ..?hebu nenda fanya Google search za nchi hizo uangalie hali zao zipoje kwa maana ya kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiusalama.
Nikwambie kitu magufuli akitolewa kwa njia hizo wakaingia hao mnao waona bora sasa kabla ya muda wao nao watatolewa na makundi mengine ambayo yatapata uhalali wa kutumia njia hiyo hiyo iliyotumika kwa magufuli hivo choko choko za ajabu na visa havitaisha humu nchini.
So lets think twice sio kuwaza pesa tu mifukoni ukiwanazo kama huna amani utashindwa kutimia hizo pesa.
Hivi ni funzo gani unatoa hapo?Sawa... hivi umejiuliza ni kwanini leo watu wameanza kuwa na mawazo ya 'one term president' kwanini haikutokea kwa Mkapa wala kipindi cha Kikwete?
Ndio majuto ni mjukuu lkn watu wakiamua huwa hawaangalii matokeo ndiyo maisha yalivyo.
Tunapotoa mifano hiyo ya marais waliopinduliwa au kuondolewa na bunge siyo vitisho ni mafunzo kwa watawala na wananchi kwamba watendeane haki yasije kuwakuta kama hayo.
Hata kama walitenda makosa huko nyuma anatakiwa atende haki na afuate sheria wakati anawashughulikia siyo kwa kuwateka.Hivi ni funzo gani unatoa hapo?
Hakuna funzo linalotolewa kwa vitisho....
Maranyingi vichocheo chanya huleta matokeo bora zaidi na kwa wakati kuliko vichocheo hasi.
Kwanini sasa? Kwa sababu sasa tayari kuna wanyang'anyi wa nchi na rasilimali za keep wameanza kushughulikiwa vilivyo ili kuleta usawa kwa watu wote. Hawa wanyang'anyi wametengenezwa katikati awamu hiyo zilizopita na ukazitaja.
Wanyang'anyi hawa sasa hivi wanateseka wanavyo shughulikiwa vilivyo kwani walizoea kufanya vile watakavyo kana kwamba the whole country belonging to them and no one deserve to live while kwa kuwanyekea wao kwa sababu walimiliki sehemu kubwa ya resources zetu.
This is why now.
Hapa Kazi Tu....HAWATOMUWEZA KAMWEWatanzania ni wanafiki na malimbukeni wanaopenda mteremko kwenye kupata mafanikio....
Mlilia lia kikwete fisadi, huduma mbovu, wenye nacho wanasikilizwa kuliko wasionacho mkawa mnaomba usiku kucha atoke rais wa tofauti mkalli asiwe legellege like kikwete amepatikana mnaanza kulalamika ooh mara ivi mara kilikwenda kimerudi pumbavu kabisa.
Magufuli kanyaga mafuta twende wasikutishe.
Umeona sasa kauli zako(zenu) ni nani atakaewasikiliza hata kama ni mwendawazimu......Hata kama walitenda makosa huko nyuma anatakiwa atende haki na afuate sheria wakati anawashughulikia siyo kwa kuwateka.
Kuna wangapi wameumizwa awamu hii kwa makosa ya kuhisiwa au kusingiziwa,Umeona sasa kauli zako(zenu) ni nani atakaewasikiliza hata kama ni mwendawazimu......
Una uhakika yeye ndio anateka au anaagiza kuteka.
Je ni wapi hafati sheria?
Haya yote yallikuwa yanatokea wakati wa nyuma au awamu zingine ila sasa yanaonekana makubwa kwa sababu ya utandawazi na kukuwa kwa technology...Kuna wangapi wameumizwa awamu hii kwa makosa ya kuhisiwa au kusingiziwa,
Kesi ya Lugumi imeishaje, kesi ya milioni 7 kwa dakika iliishaje, Manji na madawa ya kulevya imeishaje,
Hizo ni baadhi tu ya kesi zilizoumiza watu bila sababu za msingi achilia mbali kuminywa kwa uhuru wa demokrasia ya vyama vingi, uhuru wa vyombo vya habari, uhuru wa kufanya tafiti, mauaji na utekaji kuongezeka, ni mengi tu yametokea wakati wa utawala wake.
Hayo na mengi lazima watu waanze kufikiri one term president.