African life assurance(interview)

Nijuzeni wana JF anaefahamu kama African life Assurance wameshaita watu kwenye interview au lini wataita.

Jana 2 ndo ilikuwa mwisho wa kusubmit cv,leo unaulizia interview mmh njaa itakuuwa kijana! We kama ipo ipo 2! Then unaweza fanya kaz kwa commision?
 
Back
Top Bottom