Wanawake wa Kiafrika wana nywele nzuri tu (natural) lakini naona kuna complex na hisia kuwa nywele za kiulaya ulaya ndizo zinazopendeza zaidi.
Ukiangalia picha za walimbwende wengi Dar utakuta ni hizi nywele za kupachikia au nywele zilizokaangwa. Mara chache sana nakutana na mabinti wenye nywele fupi za asili na zinapendeza kwamba I have to take a double look. Kama nilivyosema samahani kama nitawakwaza dada zangu kwa topic hii.
Kibaki and Karua
Samahani kama nitawakwaza dada zangu wa Kiafrika. Kila ninapotazama picha za wanawake wa siku hizi naona mtindo wa nywele ni zile zilizokaangwa au zile zinazoonekana kama singa za mkia wa farasi. Mfano ni hii picha ya mgombea urais mtarajiwa wa Kenya Martha Karua.
Wanawake wa Kiafrika wana nywele nzuri tu (natural) lakini naona kuna complex na hisia kuwa nywele za kiulaya ulaya ndizo zinazopendeza zaidi.
Ukiangalia picha za walimbwende wengi Dar utakuta ni hizi nywele za kupachikia au nywele zilizokaangwa. Mara chache sana nakutana na mabinti wenye nywele fupi za asili na zinapendeza kwamba I have to take a double look. Kama nilivyosema samahani kama nitawakwaza dada zangu kwa topic hii.
Mkuu Jasusi
Bora umelianzisha maana kuna mtu wa karibu sana ana haya manywele, huwa siyapendi ila basi natafuta namna ya kumwambia nashindwa
Huwezi jua labda ni mtu wa enzi zileeeeee!! Hajui sasa ni 21 century.
Vipi, umevipenda hivyo? Lemme know...Lol
Kama huzipendi bora umwambie ili ajue huzipendi.Maana yeye atazidi kuwa busy na nywele anafikiri unafurahia.
Hapo ndio mwake maana hizi ndio shoes zinazotakiwa club.
Vipi wanaume wanaovaa heleni?na wengi wanasuka nywele pia?
At least it is natural and I do not have to worry about our ladiesmnapenda tutumie style hii ili turudi miaka ile ya 50-70