hashycool
JF-Expert Member
- Oct 2, 2010
- 6,555
- 2,829
mnayaogopa ehh?oeni achaneni na ubachela!
mama mchungaji itabidi nikuombe darasa siku moja.........
mnayaogopa ehh?oeni achaneni na ubachela!
Ha ha ha ha mama mchungaji wape watu mwongozo kusudi wasiogope lol
Kabisa..we na Finest!!Ntawatranssform!mama mchungaji itabidi nikuombe darasa siku moja.........
Haya mama mchungaji tutakuja kwenye darasa mimi na hashySio wape bwana sema tupe..sijui hata mnaogopa nini!Ngoja niwaandalie semina!
Just like you Michelle
Michelle vipi??
Inaonekana ulikuwa kigori kweliNina watoto wawili shem,uzee unanianza,nilivyokuwa Kibosho girls enzi hizo bila hata make-up ningemzidi huyo.......lol:coffee:
Inaonekana ulikuwa kigori kweli
kabisa..we na finest!!ntawatranssform!
Njoo haraka sasa kabla warembo wote hawajachukuliwa!ahahaaaaa.....nadhani ninaihtaji zaidi hiyo transformation
Aisee naja fastaNjoo haraka sasa kabla warembo wote hawajachukuliwa!
Yap shemNimekubali shem......mambo ya traditional wedding???
Mkuu,Mkuu usije kuta ndiyo yeye lol!!!!!
Aisee naja fasta
How about this hashy pole sana my brother she already taken
View attachment 21712
Yap mkuuDoes that mean that the beaty is not taken?