wa mkoa gani
Hahhahaaaaa osie Kifyatu...nfyatuiya mzighi
Wa namna hii raha kweli maana wana soni na haya nyingi halafu kila kitu
Wa namna hii raha kweli maana wana soni na haya nyingi halafu kila kitu
ni eee maana hawajui kiswahili vizuri.Akitazama chini na kuanza kuchora kwenye
vumbi kwa kutumia dole la mguu wa kulia ujue tayari umekubaliwa.Kazi kwako
kuangalia penye kichaka kizuri.
Makabila ya namna hii mengi yapo Arusha, Singida na Dodoma
Sio lazima iwe bongo!
Ni kweli mkuu ila nilikuwa namaanisha kwa Tanzania