Africa unaweza kuzikwa ukizimia

Africa unaweza kuzikwa ukizimia

Nliona mahojiano kati Hussein Machozi na kituo cha Star TV, Machozi anasema miaka hiyo anacheza mpira kagera huko
Inapigwa kona mwenzie akamgonga kisogoni, akazimia
Mwili kupelekwa hospital ya mkoa dokta akasema tayari kafa, taratibu za kutoa maiti kwa wanandugu zikaanza
Anasema kesho yake alfajir anastuka akiwa hatambui yuko waapi, kumbe mochwari
Sekeseke likaanzia hapo, anasema tangu siku hiyo hakuwahi kumuona tena yule dokta maana alikimbia
Ukweli kabisa Afrika tunazikana saana tukiwa tumezimia tuu
Ndio yule "Kafia ghetto"
?
 
HUO NDO UKWELI KABISA..UKIONA NDUGU YAKO KAANGUKA NA KUZIMIA TARAJIA MSIBA JF MEMBERS MNAMACHO YA KUONA NDANI ZAIDI..WAAFRIKA HATUPENDANI.
 
Kweli kabisa, mwaka fulani hv rafiki yangu alipata ajali ya bajaji akawaishwa Bugando hosp alipofikishwa akapelekwa ICU.. Siku ya pili madaktar wakasema alishafariki Mungu si Athumani kati ya wale madaktari kuna mmoja aliwahi kumfundisha rafiki yangu na anafahamiana naye sana akawaambia huyu bado mzima kwani familia yao wanasali sanaana tumpe muda..Baada ya siku saba akazinduka mpaka sasa yupo anaishi. Sahv tungekuwa tunamwita marehemu..Kwahyo huo upuuzi upo mwingi Afrika ni kwasababu ya kutothaminiana, kupendana na kujaliana.
 
Wazungu kutufananisha na MASHETANI wala hawajakosea ni haki yetu.

Afrika tumekalia ushirikina, ubinafsi na umwinyi. Yaani hatutaki kutoka nje ya box wenyewe kwa wenyewe hatupendani..

Kila mmoja anawaza kumnyonya mwenzie na kujitwalia mali ili akazitumie kwa wazungu badala ya kurekebisha kwetu..!!
Umeongea points na maisha halisi ya Mwafrika.
 
Fikiria hapo Jangwani karibu na Ofisi ya club kubwa Africa pananuka MAVI miaka nenda rudi... Pita kesho kama mvua haijanyesha uone kama nadanganya... Ila wanachangia MAMILIONI ya kampeni za nchi hii....
Ulikuwa umeanza vizuri, ila ulivyohitimisha umeonekana ni jamaa moja lofa tu!
 
Tuna ubinafsi sana hiki kitu huwa sikipendi sana Mimi hata nikinunuaga samaki au kuku nagawana sawa kwa sawa na familia yangu 😎
Tuna madaraja na hii kitu ni mbaya mno.
Tunabaguaba kwa kila kitu. Kama sikubagui kwa kile basi nitakubagua kwa hiki.
 
Nilipiga mzinga nikaokotwa na hawa Patrol wa police kufika muhimbili jamaa kwenye sheet wameiandika pale fire tumekufa.
Yule doctor asingetuchunguza ingekua kwaheri.
Katucheck kaona wazima hawa tukapigwa drip ICU siku tatu tumezinduka poa kabisa.
Ndo kuhamishwa pale.
Kumbe nia jamaa walitaka wazime å gari.
 
Shida viongozi wengi wa afrika wanapenda uongozi kuliko kuongoza ndio hawana shida na matatizo ya wananchi
 
Back
Top Bottom