8691jakigili
Senior Member
- Mar 30, 2012
- 179
- 67
I've read the attachment. Thank you for the correction on Patrick Henry.Sahihisho.
Patrick Henry hakuwa mweusi.
Alikuwa mweupe, alikuwa na watumwa, na alifariki akiwa na watumwa 67
Maneno yake yachukulie kwa muktadha.
Mkuu,Hayo ni mawazo yako mfu na kukosa kufikiri kwa kina. Ethiopia kuna Lisu? Burundi kuna Lisu? Rwanda kuna Lisu?
If you are not prepared to respect basic human rights, expect anything from the oppressed......
😂😂😂😂 Watz tatzo tunapenda kuonekana much knowWewe hata utashi wa kuelewa relevance ya hicho kitabu kwenye mazungumzo haya ni ipi huna.
Tatizo ni kuwapata watakaoongoza mapambano kwa maslahi ya wananchi kama walivyofanya kina Nyerere huko nyuma. Waafrika tumejawa na ubinafsi. Museveni alipigana kuangusha utawala wa Obote kwa madai ya kuondoa udikteta, kadhalika Kagame wa Rwanda lakini hawa wamegeuka madikteta wabaya zaidi kuliko wale waliowaondoa.Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-Tanzania ikiwa kinara. (ongezea za WestAfrica), ni wazi kwa mwenendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
That hogwash is neither here, nor there.Watz tatzo tunapenda kuonekana much know
Hujajifunza chochote from the Arab Spring?Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-Tanzania ikiwa kinara. (ongezea za WestAfrica), ni wazi kwa mwenendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Naona unajidhalilisha mwenyewe"A black person not only blackness lies on his/her skin but blackness is also entrenched deep into his/her mind."
Naona unajidhalilisha mwenyewe
Mbona Marekani waanzilishi wa domokrasia wanalalamikiana kuibiana kura au unayetafuta kutawaliwa kikoloni ni wale wanaopekenywa.Kosa kubwa ni la wapigania Uhuru walitengeneza mifumo ya kuendelea kutawala na sio kuongoza.
View attachment 1638802
Eti huo ukandamizaji ndio 'namna' ya kutuletea 'maendeleo'.Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-Tanzania ikiwa kinara. (ongezea za WestAfrica), ni wazi kwa mwenendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.
Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Pole sana yaonekana wafaidi mezani kwake, usiposema hivyo utatemwa na kurudi huku kwenye njaa kali...., until when we support each other. Ungesema ukombozi wa ki fikra, not otherwise. Most of us we are not free my friend, we have muzungu mentality, and mara nyingi compare etc wazungu mpaka our blood children know muzungu is better than black. Dkt Magufuli ni mtu pekee anajaribu kutukomboa toka utumwani.
Kulalamika ni silka ya binadamu but hakuondoi uhalisia wa kushinda au kushindwa.Kwani we utawaliwi.Kilichobadilika ni rangi tu but ukoloni ungalipoMbona Marekani waanzilishi wa domokrasia wanalalamikiana kuibiana kura au unayetafuta kutawaliwa kikoloni ni wale wanaopekenywa.
Lazima utakuwa unaukichaaa wewe, si bure
You have cursed the whole raceIngalikuwa ni uongo hapo ndio kujidhalilisha lakini kama ni ukweli basi hapo ndipo kuna nafasi ya kujitambua na kujirekebisha.
Kamwe mtu hawezi kujirekebisha asipotambua makosa yake kwanza.
You have cursed the whole race
Something very wrong
Nadhani katika watu wasioamiika duniani mmoja wao ni huyu rafiki yako! Nadhani ni ruhusu and justified kwa yeyote ku-speculate LOLOTE juu ya huyu rafiki yako!Magufuli alishasema hataongeza muda, unataka afanye nini ili ukubali kwamba hataongeza muda?