Africa needs a second wave of armed struggle to gain independence from fellow black dictators, murderers, human rights violators and colonialists!

Hayo ni mawazo yako mfu na kukosa kufikiri kwa kina. Ethiopia kuna Lisu? Burundi kuna Lisu? Rwanda kuna Lisu?
If you are not prepared to respect basic human rights, expect anything from the oppressed......
Mkuu,

Who is Lissu by the way? Why are you glorying him so much to the extent of addiictions without reasonable cause? There is no where a country can sustainably prosper through county/province administration, no integration among the community, there shall be be no wealth distribution across the society, so the mode of administration your favorite TAL he was advocating throughout his campaign and it was trashed right away by the citizens after realizing his motive and intent was to plunge the nation to civil stifle for the evil mission accomplished.

If you are Lissu and you responding this nuisance to your would voters, forget to vie further into the highest post in Tanzania.

Secondly, abstain branding your colleague JF members that they have 'mwwazo mfu' this indecent approach and blatant assault which won't be entertained whatsoever. Taking a hitch into political arena without assessing the subsequential risk as compared to advantage is bourgoise characterist that focusses much on economic materialism, hedonism that upholds the extreme political and economic interests of the capitalist ruling-class which we do not adore in Tanzania.
 
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-Tanzania ikiwa kinara. (ongezea za WestAfrica), ni wazi kwa mwenendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.

Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Tatizo ni kuwapata watakaoongoza mapambano kwa maslahi ya wananchi kama walivyofanya kina Nyerere huko nyuma. Waafrika tumejawa na ubinafsi. Museveni alipigana kuangusha utawala wa Obote kwa madai ya kuondoa udikteta, kadhalika Kagame wa Rwanda lakini hawa wamegeuka madikteta wabaya zaidi kuliko wale waliowaondoa.

Kuna uzi humu umeanzishwa kujadili maslahi wanayolipwa wabunge yasiyoendana na kazi wanazofanya. Lisu siku za nyuma aliulizwa kuhusu haya maposho wanayolipwa jibu lake likawa kwamba ni sahihi kwa kuwa kabla ya kuwa mbunge alikuwa anatengeneza pesa nyingi zaidi kwa kazi zake za uanasheria.

Do not trust these pigs. Matumbo yao mbele, wewe utatumiwa kama ngazi ya kupandia tu.
 
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-Tanzania ikiwa kinara. (ongezea za WestAfrica), ni wazi kwa mwenendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.

Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Hujajifunza chochote from the Arab Spring?
 
Naona unajidhalilisha mwenyewe

Ingalikuwa ni uongo hapo ndio kujidhalilisha lakini kama ni ukweli basi hapo ndipo kuna nafasi ya kujitambua na kujirekebisha.

Kamwe mtu hawezi kujirekebisha asipotambua makosa yake kwanza.
 
Kwa hii trend inayoshika kasi ya udikteta among African nations, I can predict kutakuwa na second wave of liberation struggle among African nations to gain their independence from fellow black colonialists! Angalia aina ya serikali katika nchi za Rwanda, Burundi, Uganda, Ethiopia, Zimbabwe to mention, but a few-Tanzania ikiwa kinara. (ongezea za WestAfrica), ni wazi kwa mwenendo huu kuna civil wars zitaibuka Africa.

Mauaji ya waafrika wenzano, kutoheshimu Katiba za nchi zao, ukandamizaji, kupuuza haki za binadamu etc utafika wakati hayatavumilika. Time will tell!
Eti huo ukandamizaji ndio 'namna' ya kutuletea 'maendeleo'.
 
...., until when we support each other. Ungesema ukombozi wa ki fikra, not otherwise. Most of us we are not free my friend, we have muzungu mentality, and mara nyingi compare etc wazungu mpaka our blood children know muzungu is better than black. Dkt Magufuli ni mtu pekee anajaribu kutukomboa toka utumwani.
Pole sana yaonekana wafaidi mezani kwake, usiposema hivyo utatemwa na kurudi huku kwenye njaa kali
 
Mbona Marekani waanzilishi wa domokrasia wanalalamikiana kuibiana kura au unayetafuta kutawaliwa kikoloni ni wale wanaopekenywa.
Lazima utakuwa unaukichaaa wewe, si bure
Kulalamika ni silka ya binadamu but hakuondoi uhalisia wa kushinda au kushindwa.Kwani we utawaliwi.Kilichobadilika ni rangi tu but ukoloni ungalipo
 
Ingalikuwa ni uongo hapo ndio kujidhalilisha lakini kama ni ukweli basi hapo ndipo kuna nafasi ya kujitambua na kujirekebisha.

Kamwe mtu hawezi kujirekebisha asipotambua makosa yake kwanza.
You have cursed the whole race

Something very wrong
 
You have cursed the whole race

Something very wrong

There are general distinctive behaviours to be found in every race although there are some exceptions, I'm hereby not talking about the exceptions , eg most European are racists and most Africans aren't, having said so who then dares to condem and criticise me for speaking out the truth?!!!
 
Magufuli alishasema hataongeza muda, unataka afanye nini ili ukubali kwamba hataongeza muda?
Nadhani katika watu wasioamiika duniani mmoja wao ni huyu rafiki yako! Nadhani ni ruhusu and justified kwa yeyote ku-speculate LOLOTE juu ya huyu rafiki yako!

SOME QUOTES:

Can you trust a dictator:​

Finally, I find evidence of strategic behavior, as all regime types are more likely to sign agreements and less likely to comply when the other negotiating party is a boss, compared with a democracy.

Never trust a dictator​

On September 30, 1938, British Prime Minister Neville Chamberlain gave a speech to the British people declaring he had achieved "peace for our time." How had he achieved this peace? He had negotiated, appeased and caved to the demands of Adolf Hitler and the Nazis at the Munich Conference. His words would become infamous as Hitler ordered the invasion of Poland less than a year later on September 1st, 1939. This invasion finally woke up the British to the threat of Hitler and his tyrannical goals. They soon declared war on Germany, plunging into World War II. The cost of appeasement was the lives of twenty million soldiers and forty million civilians (including six million

Never trust data from dictators​

Headlines blare that the United States has now surpassed China and every other country in the world in confirmed coronavirus cases. As my American Enterprise Institute colleague Derek Scissors points out, there is absolutely no reason to trust Chinese government statistics, especially as communist authorities in Beijing have repeatedly lied, obfuscated, and have every reason to cover-up the true number of cases they battle.
 
52 Reactions
Reply
Back
Top Bottom