Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,144
- 5,666
Soma taratibu mkuuBado huna eleweka vizuri Mara UNESCO na walimu Mara Africa, andika vizuri tukuelewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa Mimi au andiko langu?..kuwa specific.Kiukweli sijakuelewa
Sijalielewa andiko lakoHujanielewa Mimi au andiko langu?..kuwa specific.
Mimi ni vigumu kujielewa kama ilivyo kwa wewe.
Kama wewe ulivyo..mfyuuu.....Huu uzi umenikumbusha ndugu yetu deo kisandu😂😂
Forbes.com October, 9 Mwaka 2016 walionesha kuwa, kuna Walimu milioni 90
UNESCO walikadiria bado kutakuwa na hitaji la Walimu kati ya milioni 69 - 70 ili kufikia SDG's 2030.
Lakini tayari kuna uhaba mkubwa wa Walimu Uingereza,Canada.
Kenya wanamchoma Mwalimu mwenzetu kisa shule hujapata matokeo mazuri. Ndiyo maana kwenye kiitikio cha wimbo wa Afrika kuna maneno "Mungu imbariki Afrika na watu wake".
Doooh! pole sana mkuu.Kama wewe ulivyo..mfyuuu.....