Africa Cup of Nations (AFCON) 2017, Special thread

1484409453427.jpg
 
Huyu Domo anatakiwa akasajiliwe twanga maana ni performer kuimba hajui.
 
yah ni kweli....mbn mahombi mwenzie katulia frsh...alikua akiruka ruka anakaa kimya...akiimba anaacha kuruka ruka....yn kuimba na kucheza vnapokezana
Wabongo katika ubora wenu
wewe Fundi umeongea.....sure embu angalia booba anavokamua na sauti inasikika classic na anakamua fresh heavy voice

Tatizo anataka kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja...hata michael jackson tu kuimba na kucheza kunamsumbua...ila still chibu kafanya vyema.

Pole sana Chibu, hiyo Flag INA GUNDU.... Umechemsha sana Hommie

hana sauti kabisa yule ni dansa tu
 
Back
Top Bottom