Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,787
- 4,875
Uwanja mtupu kabisaa watu wachache yawezekana wanasubiri muda wa kipute kuanza
naona Davido anatumbuiza
Mc ana mbwembwe..anajitahidi kuchangamsha shughuli

hahaaaa. kwanini mkuuDiamond ni dancer sio performer nmekubali Leo!!
hajajua kucheza na mic bado cjui anajisahau....anarudia makosa yale yale...kuimba uku unaruka ruka lzm sauti ickike vbyaa....ila kajitahdDiamond ni dancer sio performer nmekubali Leo!!
Tatizo anataka kufanya vitu vingi kwa wakati mmoja...hata michael jackson tu kuimba na kucheza kunamsumbua...ila still chibu kafanya vyema.hajajua kucheza na mic bado cjui anajisahau....anarudia makosa yale yale...kuimba uku unaruka ruka lzm sauti ickike vbyaa....ila kajitahd