vipi atakuwa mkali kwenye matuta?
Nafasi ya Sheikh Yahaya inakuhusu.
vipi atakuwa mkali kwenye matuta?
Kuna Star atakosa penalt,kama siyo Eyew,ila kuna star leo lazima akose penalt
Kuna Star atakosa penalt,kama siyo Eyew,ila kuna star leo lazima akose penalt
Wasiyojua kupika penalty nje!
hahahahaha wewe jua tu Star ila probably Eyew,kama siyo yeye basi kuna star lazima akose penaltHahaha...star wa timu gani
Jamaa wanaogopana mno...
?Kabisa Mkuu