everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
nipo kwa hawa "The black stars"
Hatualikani best? Nakusalimu tu......
nipo kwa hawa "The black stars"
Hatualikani best? Nakusalimu tu......
huoni kama unawakera ghana wa SimbaTimu Ghana fanya mambo basi kama walivyofanya yanga.
huoni kama unawakera ghana wa Simba
nisamehe best. Upo timu gani leo?
Kuna kila dalili ya tuta katika kupata bingwa wa mashindano haya.
Kona wanapata Ghana
Gyan alishagoma kupiga penalty kwenye timu ya Ghana naona ndio maana wamemtoa mapema.naona mpira ndo unachangamka,ila wamechelewa lazima wafike matuta