Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Kocha wa Ivory cost angetanguliza wataalam kama yaya na kalou
 
Kipa wa CIV anagalauka kabla ya kwenda golini...

Inaonekana kapata shida ya msuli...

Hadi sasa kila timu imepiga penati 4

Andre Ayew....anapataaaa

Ghana 3 - 2 CIV
 
Yaya Toure....anapataaa

Ghana 3 - 3 CIV

Mizunguko mitano imemalizika sasa ni piga nikupige...
 
Johnathan Mensah anapataaaa....

Ghana 4 - 3 CIV
 
Back
Top Bottom