Mkuu heshima yako, naona tumepoteana sana.Gyan anawachosha wenzake, kashazeeka na ligi anayocheza haina tofauti na ya Yanga na Simba, asipokuwepo Ghana wanacheza vizuri sana. Angeanzia bench tu, Jordan Ayew awachoshe kina Kolo
Gyan anawachosha wenzake, kashazeeka na ligi anayocheza haina tofauti na ya Yanga na Simba, asipokuwepo Ghana wanacheza vizuri sana. Angeanzia bench tu, Jordan Ayew awachoshe kina Kolo
Mkuu heshima yako, naona tumepoteana sana.
kalala,kesho shule,vipi wewe leo team wapi?mzima lakini. msalimie huyu mdogo.
kalala,kesho shule,vipi wewe leo team wapi?
Heshma kwako Mkuu, siku hizi si hutaki kuja kutasabahi maburuda? Me bukheri wa afya, sijui wewe? Na wewe uko na vijana wa Arvam Grant?
Huyu mtaalam wetu toka Tel Aviv naona ameishiwa mbinu .
Kila la kheri Cote de Ivoire...
Toeni gundu bana baada ya kulikosa kombe mara kadhaa zilizopita...
Huyu mtaalam wetu toka Tel Aviv naona ameishiwa mbinu .