idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,440
Maswali mengine bwana.........mmeo yuko wapi sa izi
Maswali mengine bwana.........mmeo yuko wapi sa izi
hahahaha,yaani acha tu,sijui akishajua alipo itamsaidia nini?Maswali mengine bwana.........
Hahaha huwezi jua labda angekuja.!!!!hahahaha,yaani acha tu,sijui akishajua alipo itamsaidia nini?
Unakumbuka world cup 2014,unamkumbuka Katavi?wewe leo team wapi?Dakika ya 22 bado 0-0
Leo nawapa Ivory coast nao waonje raha ya ubingwa toka 92.
Unakumbuka world cup 2014,unamkumbuka Katavi?wewe leo team wapi?
kama matuta hivi yanaonekana,bado hawajachangamka sana.Wakienelea hivi basi tutashuhudia matuta
Live streaming??? Kuna mtu anazo links??
kama matuta hivi yanaonekana,bado hawajachangamka sana.Wakienelea hivi basi tutashuhudia matuta
FromHot.com - FromHot - Sport Lemon - From Sport - Watch Live Sports Online - FromSport
Scroll hadi chini halafu utaona link kibao zinaonyesha mechi mbalimbali halafu ujichagulie.
Na iwe hivyo.Sisi kutoka miji ya Accra na Kumasi tunamaliza hii mechi ndani ya dakika 90. Subiri mtaalamu kutoka Tel Aviv akianza kuonyesha ufundi wake.
Hahahahahahahaha lol!!! Nakumbuka lol! Nataka Ghana washinde, hawa wana similarities nyingi na Watanzania pia nina marafiki wengi wa Kighana.
Unakumbuka world cup 2014,unamkumbuka Katavi?wewe leo team wapi?