Goli zuri sana la free kick. Angefunga Messi, Rooney, au Ronaldo lingepambwa mno.
Angefunga Rooney dunia nzima tungetangaziwa.
Goli zuri sana la free kick. Angefunga Messi, Rooney, au Ronaldo lingepambwa mno.
kweli mkuu kumbuka mwenyeji alikuwa na siku 60 kuandaa mashindano na timu ya taifa. Mungu awape nini, mpira wanacheza ngalia goli la pili lilivyo zuri.
EQG hata kipa wao kumbe mzuri sana
Hii ndiyo Afrika !
haaaaaa wenyeji wameingia nusu fainali kwa mbeleko ya chuma, michuano imefanikiwa

Kiungwana wenyeji wamebebwa wazi sana hadi aibu......

Mbona kawaida sana au kipindi cha nyuma ulikuwa huonagi ujanja ujanja tena wa kipumbavu wa hawa waarabu?
Sawa.Kutesa kwa zamu, na vilevile ni shukrani kwa Teodoro Nguema kwa kuyaokoa mashindano mwaka huu.