Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Ingawa siwapendi waarabu lakini hii penati ni kubebwa live.....aibu sana ....
 
Defenda wa Tunisia aliingia kwenye mtego wa kijinga wa kujaribu kuucheza mpira na mchezaji wa E.Guinea akajiangusha alipohisi contact.
 
Jamaa wanapewa penati dakika ya 90? ....hii imewauma sana Tunisia ......
 
Ingawa siwapendi waarabu lakini hii penati ni kubebwa live.....aibu sana ....

Acha wabebwe, waarabu wana mchezo wa kijinga sana wakishafungaga kagoli kamoja, muda wote kujiangusha na kuanza fujo za kipumbavu.
Stupid sana hii mi.dhut
 
Acha wabebwe, waarabu wana mchezo wa kijinga sana wakishafungaga kagoli kamoja, muda wote kujiangusha na kuanza fujo za kipumbavu.
Stupid sana hii mi.dhut
huyu refa nimempenda sana, waarabu wa ajabu sana. mwenyeji aendelee kushereshesha mashindano.
 
  • Thanks
Reactions: 999
huyu refa nimempenda sana, waarabu wa ajabu sana. mwenyeji aendelee kushereshesha mashindano.

Kweli refa guud sana haendekezi ujinga wa hawa waarabu. Refa akikomaa nao watakaza kota otherwise wanapenda kukuendesha wao wanavyotaka
 
Kweli refa guud sana haendekezi ujinga wa hawa waarabu. Refa akikomaa nao watakaza kota otherwise wanapenda kukuendesha wao wanavyotaka

kweli mkuu kumbuka mwenyeji alikuwa na siku 60 kuandaa mashindano na timu ya taifa. Mungu awape nini, mpira wanacheza ngalia goli la pili lilivyo zuri.
 
  • Thanks
Reactions: 999
Hiyo free kick kwa jinsi ilivyopigwa inanikumbusha the king himself Ronaldinho Gaucho.
 
Goli zuri sana la free kick. Angefunga Messi, Rooney, au Ronaldo lingepambwa mno.
 
Hili la pili ni bonge la goli bila utata.....
 
Back
Top Bottom