Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Africa Cup of Nations (AFCON) 2015 updates

Ndugu hawa wa mama mmoja baba tofauti wamekamiana kweli kweli kama uzi na sindano!!!!
 
vipi mitanange inaendeleaje?niliikosa toka mwanzoni hope nusu robo fainal ya usiku nitaangalia

Wewe mdada ratiba yako iko tofauti na yetu au mambo ya time difference? jana hapakuwa na match, mambo yako leo. Kinshasa, Kisangani, Lumbashi kumewaka moto. Brazzavile 2-4 Kinshasa.
 
Mbokani anatia wavuni kamba ya 4 kwa upande wa congo kinshasa
 
Wewe mdada ratiba yako iko tofauti na yetu au mambo ya time difference? jana hapakuwa na match, mambo yako leo. Kinshasa, Kisangani, Lumbashi kumewaka moto. Brazzavile 2-4 Kinshasa.
jana niliingia chaka,mimi nasubiri za kesho.Ghana vs Guinea,Cote d'ivoire vs Algeria
 
DRC hakuna mchezaji BOKILA bali ni BWAKILA, msichanganye pronounciation hapa.
 
DRC hakuna mchezaji BOKILA bali ni BWAKILA, msichanganye pronounciation hapa.

Wewe mgeni humu mbona hujui unachokifanya!!!! hilo jina la Bwakila umelitoa wapi!! congo hakuna mchezaji anayeitwa Bwakila, au unadhan humu facebook nini?
 
wewe ndo unadhan humu facebook wakati ni jf na tabia yako ya kila post unai quote.
 
Mpira kati ya E.Guinea vs Tunisia umeanza, dak ya 1 e.guinea 0-0 tunisia
 
Mkolaj mu ignore tu bado ana kamba miguuni.
Mchezaji anayebishania anaitwa Jeremy Bokila na alivaa jezi namba 19.
 
Dakika ya 70 Tunisia wanapata goli mfungaji Akaichi.
 
Ile 'local derby' was way far entertaining
 
Back
Top Bottom