Mkuu Mkolaj natoka kidogo.
Hii tiktak ya Mame Diouf ingetinga wavuni nadhani lingekuwa goli bora la mashindano.Kipa Razak anapangua tiktak ya Mame Diouf na kuwa kona,hii ni dakika 33.
Muulize mbona wao wenye miji yenye mazingira mazuri wameshindwa kuandaa haya mashindano!!!!! Big up Equatorial Guinea.Haijarishi mazingira ya mji ila mpira wenye nidhamu na ufundi tunauona
Safi Equatorial Guinea