Wanajeshi wawili wa Marekani wamepotea baada ya kushambuliwa Houth

green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
11,308
35,852
Wanamaji wawili wa Marekani hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na Wapiganaji Houth

NB: Ukiona Marekani amesema wawili ongeza 28

BREAKING

Mysterious disappearance of two US Navy sailors after strikes on Houthis.
The US Central Command said that search and rescue operations were underway for the missing sailors.
IMG_20240113_140604.jpg
 
Wanamaji wawili wa Marekani hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na Wapiganaji Houth

NB: Ukiona Marekani amesema wawili ongeza 28

BREAKING

Mysterious disappearance of two US Navy sailors after strikes on Houthis.
The US Central Command said that search and rescue operations were underway for the missing sailors.View attachment 2870517
Imekuwaje wapotee wakati marekani wamesema makombora ya Houtis hayajapiga kitu chochote? Au marekani ilikuwa inaona aibu kukubali kuwa ilitandikwa na makombora ya houtis
 
Wanamaji wawili wa Marekani hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na Wapiganaji Houth

NB: Ukiona Marekani amesema wawili ongeza 28

BREAKING

Mysterious disappearance of two US Navy sailors after strikes on Houthis.
The US Central Command said that search and rescue operations were underway for the missing sailors.View attachment 2870517
1.
F-y2iToXQAAO177.jpeg

2. Habari mbaya mno hii kuwa vipigo havina mwenyewe kwa ina ya kina MK254, Mpaji Mungu, johnthebaptist na wafia dini uchwara wenzao.

3. Kwani hata wanaelewa hakuna vita vya kidini huko?
 
Wanamaji wawili wa Marekani hawajulikani walipo baada ya kushambuliwa na Wapiganaji Houth

NB: Ukiona Marekani amesema wawili ongeza 28

BREAKING

Mysterious disappearance of two US Navy sailors after strikes on Houthis.
The US Central Command said that search and rescue operations were underway for the missing sailors.View attachment 2870517
Mkuu, jina sahihi ni HOUTHI wala siyo Houth kama wanavyoandika waandishi wetu
 
Back
Top Bottom