Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,432
- 6,515
Ifikiwe mwisho baada ya Iran kupewa kichapo!!!Hii vita ifike mwisho Sasa.
Ifikiwe mwisho baada ya Iran kupewa kichapo!!!Hii vita ifike mwisho Sasa.
Ok ngoja tusubiri baada ya wiki hivi tutamuona kwenye runinga na AK-47 alisema tutawafurumusha Waisrael kwenye nchi yetuYule Echolima1 alisema Mohammed Al Sinwar kauliwa na Israel tulimuambia sio kila anacho sema Israel uwe unakiamini lakini huwa analeta habari hazina uhakika.
Kiongozi wa Hamas kule Lebanon Osama Hamdan wamekanusha hayo na wanasema yuko hai.
Sawa mkuu; well sura ya huyo anaetuhumiwa kuuawa imeonekana anywhere? And why then Hamas walimtaja kiongozi mpya baada ya kutangazwa kua huyu kafariki/kauawa?Hamasi huwa hawasemi uwongo hata Hezbullah mwenye kusema uwongo ni Israel na USA