Afisa wa Hamas Osama Hamdan: Mohammad Al Sinwar yuko hai

Ni kichaa TU anaeweza kuwasikiliza hao mbwa, ni uhuni unafanyika wanaua watu Kama 100 hivi ili kelele za kimataifa zisiwe nyingi wanasema walilenga viongozi wa hamasi, huku wakikamilisha ushenzi wao, habari ninayosikia ni inayotoka Kwa Hamas au Al Houth Moja Kwa moja.
Yanatakiwa yafe majitu Yote yasiyomjua YESU
 
Yule Echolima1 alisema Mohammed Al Sinwar kauliwa na Israel tulimuambia sio kila anacho sema Israel uwe unakiamini lakini huwa analeta habari hazina uhakika.

Kiongozi wa Hamas kule Lebanon Osama Hamdan wamekanusha hayo na wanasema yuko hai.

MBONA SIMWONI AKIKANUSHA KWENYE VIDEO? NAKUMBUKA HATA OSAMA ALIKANUSHWA AKASEMWA YUPO HAI. KUMBE SAMAKI WANAKULA MWILI WAKE.
 
Yule Echolima1 alisema Mohammed Al Sinwar kauliwa na Israel tulimuambia sio kila anacho sema Israel uwe unakiamini lakini huwa analeta habari hazina uhakika.

Kiongozi wa Hamas kule Lebanon Osama Hamdan wamekanusha hayo na wanasema yuko hai.

Huo ni uongo ambao kwenu ninyi Waislamu mnaita TAQIYYAH yaani kusema uongo kwa akili ya mnyazimungu wenu. Gaidi Mohamed Sinwar sasa hivi anaozeana kwenye friji huko Israel akiwa kwenye kitanda kimoja na ndugu yake Yahya Sinwar!!!

Kama mnataka kudhibitisha wamwambie aonekane kwenye media yoyote hata Aljazeera kama wanaweza!!! Huyo Alisha kufa zamani na Alisha’s za kabla askari wa Israel hawajaenda kuukokota mzoga wake kutoka kwenye handaki alikokuwa Akiishi Mbwa huyo!!
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    19.7 MB
  • IMG_3234.jpeg
    IMG_3234.jpeg
    174.1 KB · Views: 7
Mbona una deviate sheikh? Issue hapa ilikuwa amekufa au hajafa hayo ya Kila mtu atakufa Hilo ni suala lingine halihusiani na mada.
Sa we tuonyeshe picture kama kweli kafa story za bla bla bila dalili msituletee hapa.
 
Ni kichaa TU anaeweza kuwasikiliza hao mbwa, ni uhuni unafanyika wanaua watu Kama 100 hivi ili kelele za kimataifa zisiwe nyingi wanasema walilenga viongozi wa hamasi, huku wakikamilisha ushenzi wao, habari ninayosikia ni inayotoka Kwa Hamas au Al Houth Moja Kwa moja.

Wewe na akili zako bado unaamini huyo Mbwa yuko hai? Huyo aliuliwa siku nyingi sema tu nyinyi waislam mnapenda sana kusema uongo (Taqiyyah)ili tu kufurahisha Mnyazimungu wenu!,,,
 
Tunasubiri taarifa za Hamas za mazayuni tayari tunazo hivyo tulia
 
Yule Echolima1 alisema Mohammed Al Sinwar kauliwa na Israel tulimuambia sio kila anacho sema Israel uwe unakiamini lakini huwa analeta habari hazina uhakika.

Kiongozi wa Hamas kule Lebanon Osama Hamdan wamekanusha hayo na wanasema yuko hai.

Hata Osama si walisemaga hivi hivi? Of course hata humu kuna watu hawaamini kama Osama aliishaga uawa na majeshi ya Marekani pale Pakistan
 
Story nyingi za nini leteni uthibitisha mlisema Abu Obaida na Mohammed Al Sinwar wamekufa mbona Abu Obaida anatoa statement kila mda 😄 🤣
 
Huo ni uongo ambao kwenu ninyi Waislamu mnaita TAQIYYAH yaani kusema uongo kwa akili ya mnyazimungu wenu. Gaidi Mohamed Sinwar sasa hivi anaozeana kwenye friji huko Israel akiwa kwenye kitanda kimoja na ndugu yake Yahya Sinwar!!!

Kama mnataka kudhibitisha wamwambie aonekane kwenye media yoyote hata Aljazeera kama wanaweza!!! Huyo Alisha kufa zamani na Alisha’s za kabla askari wa Israel hawajaenda kuukokota mzoga wake kutoka kwenye handaki alikokuwa Akiishi Mbwa huyo!!
Mnanikumbusha ile operation ya Bollywood mlio ifanya Alshifa Hospital mkasema central Command ya Hamas hahaha. Mnaofopa nini kutoa mwili wake kama kweli mmemuwa mbona ndugu yake mlituonyesha mwili wake.

Njia za muongo ni hizo huwa hana dalili ni story nyingi tu.
 
Story nyingi za nini leteni uthibitisha mlisema Abu Obaida na Mohammed Al Sinwar wamekufa mbona Abu Obaida anatoa statement kila mda 😄 🤣
Du, sikujua kama tunashindana. Mimi siwezi kuthibitisha wala kukana kwamba huyo mtu KAFA au HAJAFA; point yangu ni hi, "both wanaweza kua waongo, Israel and Hamas/Hezbollah na mfano ni huo wa Osama.
 
Sinwar Yuko Kwa Allah Sasa hivi anakunguta bikra zake 1,000
 
Du, sikujua kama tunashindana. Mimi siwezi kuthibitisha wala kukana kwamba huyo mtu KAFA au HAJAFA; point yangu ni hi, "both wanaweza kua waongo, Israel and Hamas/Hezbollah na mfano ni huo wa Osama.
Hamasi huwa hawasemi uwongo hata Hezbullah mwenye kusema uwongo ni Israel na USA
 
Back
Top Bottom