Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,602
- 13,983
Tuliambiwa hivyo hivyo na Waziri wetu Mkuu kuwa Jiwe yupo hai na anaendelea na kazi zake ofisini.. kumbe kadedi..Yule Echolima1 alisema Mohammed Al Sinwar kauliwa na Israel tulimuambia sio kila anacho sema Israel uwe unakiamini lakini alivyo mjinga huwa analeta habari hazina uhakika. Kiongozi wa Hamas kule Lebanon Osama Hamdan wamekanusha hayo na wanasema yuko hai.
View attachment 3365028
Arabs si wameshajiapiza kuwaondosha Wayahudi kwenye Ardhi waliyopewa na Allah, Israel kwa sasa anawapa Arabs wanachowish. wakisema tunanyimwa maji Smortich anafunga mabomba, Wakisema wapokea Misaada wanauliwa, General anaagiza risasi zifanye kazi, kila wishes Arabs wakitaka wanaipata..Ni kichaa TU anaeweza kuwasikiliza hao mbwa, ni uhuni unafanyika wanaua watu Kama 100 hivi ili kelele za kimataifa zisiwe nyingi wanasema walilenga viongozi wa hamasi, huku wakikamilisha ushenzi wao, habari ninayosikia ni inayotoka Kwa Hamas au Al Houth Moja Kwa moja.
Mbona unanisingizia Majina ya user wengineKatika Uislam unahitaji ashahidi wanne au na wewe ni mtume hutaji shahidi hata mmoja kama mudy? Nyie Muslim mafunzo yenu ni machafu...Mtume wenu from Qutham hadi 99 names Allah from Lah hadi 99 names mmezoea kuishi na majina lukuki hebu mcheke kwanza Allah na Mudy maana walichukua Majina yote ya WayahudiKazana kutengeneza majina umesha fikisha mangapi lile la Echolima1 hilo la kuleta maneno ya kanga kutoka Tela Aviv sio 😂
Hadi raha!Mbona unanisingizia Majina ya user wengineKatika Uislam unahitaji ashahidi wanne au na wewe ni mtume hutaji shahidi hata mmoja kama mudy? Nyie Muslim mafunzo yenu ni machafu...Mtume wenu from Qutham hadi 99 names Allah from Lah hadi 99 names mmezoea kuishi na majina lukuki hebu mcheke kwanza Allah na Mudy maana walichukua Majina yote ya Wayahudi
Kwa unataka kutuambia Allah amefail kuchukua roho ya Sinwar? Hamas mapanya
We kenge toka lini Allah akawa ana majina 99 kuna tofauti kati ya sifa na majina hebu wewe jiulize swali Yesu ana majina mangapi? Kabla ya kukimbilia kwa Allah haha.Mbona unanisingizia Majina ya user wengineKatika Uislam unahitaji ashahidi wanne au na wewe ni mtume hutaji shahidi hata mmoja kama mudy? Nyie Muslim mafunzo yenu ni machafu...Mtume wenu from Qutham hadi 99 names Allah from Lah hadi 99 names mmezoea kuishi na majina lukuki hebu mcheke kwanza Allah na Mudy maana walichukua Majina yote ya Wayahudi
Kwa unataka kutuambia Allah amefail kuchukua roho ya Sinwar? Hamas mapanya
Aliye tangaza kamuwa ndio atoe dalili mbona kwa Yahya Al Sinwar walitoa. Hapo ni wazi Israel ni waongoUbaya wa hizi taarifa ni ngumu kuzithibitisha kwa kuwa huyo anayesemekana kanusurika hawezi kudhihirika hadharani kuyathibitisha
Hata mauaji ya Yahaya hatua za awali ilionekana ni uongoAliye tangaza kamuwa ndio atoe dalili mbona kwa Yahya Al Sinwar walitoa. Hapo ni wazi Israel ni waongo
kobazi acheni kujifariji kijinga huyo gaidi wenu kashakwenda na maji Mimi nilifikiri hata mnamuonyesha Mohamed Sinwar yupo hai anaongea kumbe gaidi mwingine aliyejificha mataifa mengine ndio anamsemeaYule Echolima1 alisema Mohammed Al Sinwar kauliwa na Israel tulimuambia sio kila anacho sema Israel uwe unakiamini lakini alivyo mjinga huwa analeta habari hazina uhakika. Kiongozi wa Hamas kule Lebanon Osama Hamdan wamekanusha hayo na wanasema yuko hai.
View attachment 3365028
We dogo huvi unafahamu Hamas wapo mpaa Lebanon au hufahamu kama hufahamu ni msimba na kama unajitoa ufahamu huo ni msiba nwingine ndio mana huwa nawaita nyie makenge. Huwa hamfahamu lolote we unamjua Osama Hamdan ni nani hahaha akili ni mali sana.kobazi acheni kujifariji kijinga huyo gaidi wenu kashakwenda na maji Mimi nilifikiri hata mnamuonyesha Mohamed Sinwar yupo hai anaongea kumbe gaidi mwingine aliyejificha mataifa mengine ndio anamsemea
Hamna lolote Hamas walitangaza naIsrael akaonyesha mpaa maiti yake. Mwambieni atuonyeshe huyo Mohammed Al Sinwar na Abu Obaida ambaye mtoa mada alisema wamekufa hahahaHata mauaji ya Yahaya hatua za awali ilionekana ni uongo
Sa wewe hautakufa au kufa nilazima tufe wote tuMud Sinwar ni nani? Walikufa wakina Mud Deif mkasema uongo ila Leo hamna majibu, huyo keshaenda na maji IDF kabla ya kuitangaza kifo cha hao wapumbavu wa Gaza wanachukua na vinasaba kabisa usifikiri wanafanya kazi kama askari wenu wa CCM .