Afisa Utumishi wilaya ya Tarime atumbuliwa

Afisa Utumishi wilaya ya Tarime atumbuliwa

Hio itasaidia watumishi.kupata stahiki zao kwa wakati
 
Mawazo yangu yatasaidia nn....???
Shida ya nchi hii sasa kila kiongozi anafikiri bila kutumbua wa chini yake ataonekana hafanyi kazi. Sasa jiulize ni lini mishara imepanda kiasi kwamba hao watumishi wamekosa mishahara mikubwa. Maandishi ya takwimu bila utekelezaji yanasaidia nini?
 
Mabavicha kazi yao kwenye mitandao nikuipinga serikali tu hata mambo ambayo hayana mashiko. shame upon you!
 
Siasa Za chuki majukwaani imezuiwa sasa mitandao ya kijamii utafikiri wameikodi!!! .
 
He thought he was smart than US intel! Instead he was caught red handed with both of his hands in the jar!
Caught red- handed? Stupid! Has Russian not succeeded in making Trump the US President-elect?
ulivyobandika yaonesha wewe ni mtumishi wa halmashauri hiyo, nikujuze tu:
Mkurugenzi hana mamlaka ya kumtumbua afisa utumishi.
Hakuna hospital yoyote yenye daktari wa kitengo cha upasuaji bali huwa ni zamu za mzunguko kwa vitengo vyote, say what you want to say. idios.
 
Back
Top Bottom