mahutu
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 766
- 556
Habari za hivi punde...
Afisa Utumishi wilayani Tarime ametumbuliwa na Mkurugenzi wa wilaya hiyo leo saa nne asubuhi, sababu zilizo pelekea kutumbuliwa kwa kiongozi huyo ni kuchelewesha kwa makusudi majina ya watumishi wanaotakiwa kupandishwa madaraja na majina ya watumishi halali ili waweze kuingizwa kwenye utaratibu wa nyongeza ya mishahara mwisho wa kutuma majina hayo ilikua trh 02 mwezi huu.
Vilevile Mkurugenzi amemsimamisha kazi daktari mmoja kitengo cha upasuaji kwa tuhuma za kuomba rushwa toka kwa ndugu wa mgonjwa aliye takiwa kufanyiwa upasuaji.
Je? Huyu Afisa Utumishi alikua na nia gani na watumishi wa wilaya hii?
My take: Siyo kila anaetumbuliwa anaonewa wengine wanajitakia wenyewe nini mawazo yako.