Afisa utumishi Wilaya ya Ileje ni mzigo

Afisa utumishi Wilaya ya Ileje ni mzigo

Mbombo mbona nmeongea tatizo huko juu huyu jamaa anaitwa NCHIMBI mwanzo alikuwa kyela amefanya madudu akaamishiwa ileje ndo anakofanyia madudu yake

Acheni unafiki leteni facts hapa sio porojo tu.
 
Afisa utumishi Wilaya ya Ileje mkoani Mbeya ni mzigo kwa wananchi amegeuza ofisi za serikali kama Mali zake binafsi na anawafanyia wananchi dharau.

Naomba wafanyakazi wa namna hii wachunguzwe inawezekana pana rushwa hapa.

Afisa UTUMWA anahusiana nini na WANANCHI? Tatizo MNATAKA short cuts ndomana mnatoa hela.

Akikuzingua mfate mkurugenzi
 
Afisa utumishi Wilaya ya Ileje mkoani Mbeya ni mzigo kwa wananchi amegeuza ofisi za serikali kama Mali zake binafsi na anawafanyia wananchi dharau.

Naomba wafanyakazi wa namna hii wachunguzwe inawezekana pana rushwa hapa.

Be careful with your fingers!
 
Limeshafika sehemu husika nadhan litatolewa maamuzi muda c mrefu
 
Nmekutana na katibu tawala mkoa na mkuu wa mkoa ,na juzi kati kanipigia na kaanza kunipiga mkwara nashukuru nmefanikiwa kumrecord nadhan n ushaidi tosha
 
Taarifa kama hizi ni muhimu sana lakini unapoacha kuwa wazi juu ya mambo yapi nani na wapi haisaidii mwisho utendelea kuteseka tuu kwa kutokuwa muwazi. Pia je unalolisema ni wewe tu umefanyiwa na kama ni wengi elelezea kwa mfano
 
Back
Top Bottom