Afisa Utumishi Muheza acha kuchezea mishahara ya Watumishi

dangalanga123

New Member
Mar 29, 2023
4
4
Kumekuwa na mtindo maafisa utumishi wilaya ya muheza kucheza na mishara ya awatumishi pasipo ridhaa yao. Hii imetokea kwa watumishi wengi kulalamikia kuingiziwa makato toka taasisi za fedha bila wao kujua na ridhaa yao.

Isitoshe wanaingiziwa makato kwa kulazmishwa kuhama vyama ya wafanyakazi bila wao kujua hii inadhoofisha utendaji kwa kutojali usiri wa mshahara wa mtu na kuingiza makato anavyotaka kwa kupewa fedha toka taasisi za fedha za kausha damu.

Hii tunaomba Utumishi Makao Makuu ikiwezekana wafanye uchunguzi inafikia hatua wanajibu hata ukienda kwa mkurugezi hautatoka bila mimi kwenye makato hayo

Imefikia hatua jamaa anajitapa mpaka kwenye bar bila yeye hakuna anayeweza
 
Takukuru Wana ofisi kila wilaya, usiogope majengo, ingia nenda katowe taarifa na ushahidi ulionao.
 
Hv mtumishi wa serikali unaendaje kukopa mikopo ya mtaani kausha damu?wakati unaweza kukopa bank yoyote kutokana na status yako
 
Kumekuwa na mtindo maafisa utumishi wilaya ya muheza kucheza na mishara ya awatumishi pasipo ridhaa yao. Hii imetokea kwa watumishi wengi kulalamikia kuingiziwa makato toka taasisi za fedha bila wao kujua na ridhaa yao.

Isitoshe wanaingiziwa makato kwa kulazmishwa kuhama vyama ya wafanyakazi bila wao kujua hii inadhoofisha utendaji kwa kutojali usiri wa mshahara wa mtu na kuingiza makato anavyotaka kwa kupewa fedha toka taasisi za fedha za kausha damu.

Hii tunaomba Utumishi Makao Makuu ikiwezekana wafanye uchunguzi inafikia hatua wanajibu hata ukienda kwa mkurugezi hautatoka bila mimi kwenye makato hayo

Imefikia hatua jamaa anajitapa mpaka kwenye bar bila yeye hakuna anayeweza
Poleni sana mkuu

Mtaje afisa afisa husika
 
Back
Top Bottom