Afisa Ugavi wa TANESCO Makao Makuu, Mbaroni kwa kosa la kusababishia Serikali hasara ya Zaidi ya Tsh. Milioni 800

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,810
11,981

Clemency Martin Mlay Afisa Ugavi wa TANESCO Makao Makuu, Mbaroni kwa kosa la kusababishia Serikali hasara ya Zaidi ya Tsh. Milioni 800

1613998780504.png
1613998840471.png
 
Huyo jamaa ni afadhari. Kuna mtu anaitwa KABENDELA ni afisa manunuzi wa Tanesco Kanda, ofisi yake ipo MKOA WA TABORA,aisee huyu jamaa ni hatari sana. Jamaa ni mla rushwa balaa, jamaa ni tapeli sana. Hafuati taratibu za manunuzi wala nini? Anaweza akatoa barua ya LETTER OF INTENTION TO AWADR alafu akakubadilikia na kumpa mwingine barua hiyo hiyo. Kiufupi TAKUKURU na watu wa usalama naomba walushe jicho kwa huyu mhuni KABENDELA.
 
Back
Top Bottom