Teeeh teeh sawa bhna mzee wa Ndanda, box 2 na Mipango.Hahaha hahahah hahahah mbona huko me sikujui asee
Teeeh teeh sawa bhna mzee wa Ndanda, box 2 na Mipango.Hahaha hahahah hahahah mbona huko me sikujui asee
Nitakushtaki kwa kuongea uongo........subiri nianze kukutafutaTeeeh teeh sawa bhna mzee wa Ndanda, box 2 na Mipango.
Sawa, Ila nlifikiri yule jamaa wa Muungano 2 kwa mzee Duwe enzi hizo teh tehNitakushtaki kwa kuongea uongo........subiri nianze kukutafuta
kumbe mpaka ma afisa watendaji wa kata mna simu zenye internet hongereni sana.
Atoke moro aende meatu duuuAfisa mtendaji wakata aje meatu niende mwanza dar au morogoro
Tsh. 762,500?= Wewe ulitakaje?hivi mshahara wa afisa mtendaji wa kata ni sh. Ngapi?
Hahaaaha nazan naanza kukutanbua sasa ebu endeleaSawa, Ila nlifikiri yule jamaa wa Muungano 2 kwa mzee Duwe enzi hizo teh teh