Afisa Mtendaji wa Kata wa kubadilishana vituo

Afisa Mtendaji wa Kata wa kubadilishana vituo

kumbe mpaka ma afisa watendaji wa kata mna simu zenye internet hongereni sana.
 
Kwa Mtendaji yeyote aliyeko Dar na anahitaji kuja Mkoa wa Mwanza basi tubadirishane. Mimi niko Wilaya ya Misungwi (30km from Mwanza mjini)
 
MTENDAJI WA KATA YA YEYOTE AMBAYE YUPO MKURANGA AU ILALA ANAYETAKA KUBADILISHANA KITUO AJE SINGIDA DC ANI PM
 
Back
Top Bottom