Afisa Mtendaji wa Kata wa kubadilishana vituo

Afisa Mtendaji wa Kata wa kubadilishana vituo

j-pawa

New Member
Joined
Nov 2, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Habari wana jamiiforum. Naomba kama kuna Afisa Mtendaji wa Kata kutoka wilaya za Dar au Pwani atakayependa tubadilishane aje Siha Kilimanjaro. Thanks in advance.
 
Upo morogoro sehemu ipi? Natafuta karibu na Dar for family issues.
 
WEO kutoka Dar au Pwani naomba tubadilishane. Mungu akubariki sana.
 
Mwenye kumfahamu Afisa Mtendaji wa Kata anayependa kubadili kituo please assist me and God will bless you.
 
Afisa mtendaji wakata aje meatu niende mwanza dar au morogoro
 
Back
Top Bottom