Wana JF kilimo kwanza
Ndugu zangu akuna asiye jua kwamba tanzania asilimia kubwa wazazi wetu ni wa kulima kwa hiyo na sisi ni zao la wakulima.
Ili nchi masikini ikuwe lazima itanzame mchango wa watu wenye kipato cha chini ambao kwa nchi hii ni WAKULIMA
Na ili mkulima asahau umasikini lazima apate elimu ya kilimo bora kutoka kwa maafisa kilimo ,kumbe ni vema serikali itume maafisa ugani wakutosha ili tusahau umasikini .
Lakini kumbuka kila aliye na uai anatengemea nguvu za mkulima kwa hiyo kuna aja ya kila mtanzania kulia akiomba kila kijiji wapate mabwana shamba ata watano ili kutokomeza adui umasikini.
-wapendwa me ni miongoni mwa maafisa kilimo ambao tumekesha tukiomba mungu atusaidie twende kijijini tutokomeze umasikini.
Ee MUNGU tusaidie wote tuliyofanya usaili tupate kazi ili kusaidi taifa letu. AMINA