DOKEZO Afisa Elimu Sekondari wilaya ya Tunduru achunguzwe kwa rushwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

MPEPE

Senior Member
Oct 20, 2012
155
64
Habari

Mamlaka husika naomba mchukue hatua kwani huyo jamaa hana ethics kabisa za ualimu na elimu kwa ujumla, ni corrupt sana (wakuu wa shule nimashahidi), anawaomba sana hongo na wanampatia kwa hofu ya kutumbuliwa, na sasa ameenda mbali zaidi amepewa nyumba shuleni badala ya mwalimu.

Uchunguzi ukifanyika mtabaini madudu mengi sana

Nawasilisha
Maoni ya mdau wa elimu
 
Hizi local authorities zimejaa injustice sana. Nenda BUCHOSA DC utaona haya haya. Afisa elimu kahamishwa kawaachia wakuu wa shule barua za kuhama vituo baadhi ya wakuu wa shule wamekataa kuhama wakiendelea kula hela kwenye shule zao
 
Habari
Mamlaka husika naomba mchukue hatua kwani huyo jamaa hana ethics kabisa za ualimu na elimu kwa ujumla,ni corrupt sana( wakuu wa shule nimashahidi) ,anawaomba sana hongo na wanampatia kwa hofu ya kutumbuliwa, nasasa ameenda mbali zaidi amepewa nyumba shuleni badala ya mwalimu. Uchunguzi ukifanyika mtabaini madudu mengi sana
Nawasilisha
Maoni ya mdau wa elimu
Kwani afisa elimu anafundisha hapo alipopewa nyumba ya mwalimu? Kama hafundishi hapaswi kukaa hapo shuleni. Aje shuleni kwa ajili ya ukaguzi na wala sio makazi; maofisa elimu wote wanakaa mbali na shule ili kuepuka mazoea na walimu hali itakayosababisha mgongano wa kimaslahi!
 
Habari

Mamlaka husika naomba mchukue hatua kwani huyo jamaa hana ethics kabisa za ualimu na elimu kwa ujumla, ni corrupt sana (wakuu wa shule nimashahidi), anawaomba sana hongo na wanampatia kwa hofu ya kutumbuliwa, na sasa ameenda mbali zaidi amepewa nyumba shuleni badala ya mwalimu.

Uchunguzi ukifanyika mtabaini madudu mengi sana

Nawasilisha
Maoni ya mdau wa elimu
Tetesi: - Afisa Elimu Sekondari Moshi Manispaa amuweka lokapu Mwalimu wa idara ya Elimu Msingi kisa Mwalimu kuuliza barua ya kazi maalum haina siku maalum
 
Back
Top Bottom