Afisa elimu Dodoma mjini unalijua hili?


zubedayo_mchuzi

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Messages
4,897
Likes
134
Points
160
zubedayo_mchuzi

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2011
4,897 134 160
Kata ya kiwanja cha ndege Dodoma mjini,chini ya uongozi wa Diwani Mh.kambenga,kupitia CCM. Umeifumbia macho REHEMA ACADEMY SCHOOL iliyojengwa karibu kabisa na Nyumba ya Waziri wa ulinzi, kwa utaratibu wao wa kuwachanganya
CHEKECHEA+P/SCHOOL+SECONDARY pamoja
Jambo ambalo limezua Maneno mengi kwa wakazi wa Eneo husika.
Ni kwamba Secondary ina walimu sita tu licha ya kuwa na mikondo miwili,na jumla yao ni 68,
Cha ajabu zaidi ni Walimu wa p/school kufundisha na secondary pia.
Wakufunzi wa Elimu hyo imekaaje,Na wanafunzi wote wanaingia Saa Moja Nusu mpaka saa kumi na moja.,
 

Forum statistics

Threads 1,239,079
Members 476,371
Posts 29,341,420