Issa SLuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 2,303
- 1,801
Polisi mkoani Katavi inamshikilia Ofisa elimu wa kata ya katuma,Tarafa ya Mwese wilayani Mpanda kwa tuhuma ya kumuua Gidson Visent (32) kwa kumchoma kisu kifuani kwa kumfumania akifanya Mapenzi na mkewe.
Inadaiwa kuwa Vicent, mkazi wa kijiji cha katuma alikutwa chumbani kwa mtuhumiwa Huyo wakifanya kitendo mapenzi na mkewe, Kamanda wa polisi MKOA wa Katavi, bw. Dhahiri Kidavashari alisema tulikio ilo lilitokea juzi SAA mbili usiku kijijini hapo, baada ya mtuhumiwa huyo kurejea nyumbani kwake na kumkuta Vincent na mkewe wakifanya mapenzi.
Kidavashari alisema mtuhumiwa aliaga nyumbani kwake kuwa anakwenda mpanda mjini kikazi na asingeweza kurudi Siku iyo.
Mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo ,Salvatory Msela alidai kuwa Mara kadhaa mtuhumiwa Huyo alikuwa akituma ujumbe kwa watu kumuonya Vincent aache kufanya mapenzi na mkewe,l akini Vincent hakusikia.
Alisema baada ya mtuhumiwa kupanda gari la kuelekea mpanda mjini,aliteremka mita chache na kujificha sehemu ili asionekane kijijini hapo,hadi usiku alipokwenda nyumbani kwake na kumfumania bwana Vincent akifanya mapenzi na mkewe.
Kitendo iko kilimkasirisha na kuchukua kisu kumchoma nacho Vincent kifuani na kufa papo hapo.
Alisema mtuhumiwa huyo atafikishwa mahakamani baada ya upelelezi kukamilika.