Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,461
viagra vimefanyaje tena? c kwamba naviunga mkono,la hasha ila ripoti ya daktari inasema kuwa juma afya amefariki kwa shinikizo la damu,na habari ya viagra ilikuja baada ya maiti kukutwa kavimba sehemu za siri ndio watu wakaamini eti wamemkuta kadindisha huku amefariki tangu jana yake,kitu ambacho hakijawahi tokea popote duniani.Viagra
Yah mawazo yetu yamefanana.Viagra
Huu upotoshaji wa habari huu!sasa kama ni viagra kwa nini afungiwe kwa ndani?kwa nini muhudumu akimbie?
Huu upotoshaji wa habari huu!sasa kama ni viagra kwa nini afungiwe kwa ndani?kwa nini muhudumu akimbie?
viagra vimefanyaje tena? c kwamba naviunga mkono,la hasha ila ripoti ya daktari inasema kuwa juma afya amefariki kwa shinikizo la damu,na habari ya viagra ilikuja baada ya maiti kukutwa kavimba sehemu za siri ndio watu wakaamini eti wamemkuta kadindisha huku amefariki tangu jana yake,kitu ambacho hakijawahi tokea popote duniani.
ipa tile ka nkani mgoli wane,aza uyugai...sola swee? uwe lega ulu wako ipa bwanewe.Mayo mbii kwasoo.....sola sweee
Yah mawazo yetu yamefanana.
Huu upotoshaji wa habari huu!sasa kama ni viagra kwa nini afungiwe kwa ndani?kwa nini muhudumu akimbie?
mkuu mm cjaona logic ya ww kung'an'gania viagra,wakat tunamtoa chumbani alikua kavimba sana ikiwa ni pa1na sehemu za siri,kule kuvimba kwa sehemu za siri ndio watu wakasema kuwa amekufa huku uume umesimama na kusimama kule kunatokana na viagra,mkuu mi naamini we unajua kitaalamu ni nini kinachopelekea uume usimame je ukifa uume utaendelea kusimama ht baada ya siku mbili?Mkubwa viagra huongeza pressure sasa mtu anapokwenda kuachia dozi moyo hongeza kasi ya kusukuma damu sasa kwa umri huo 52 likely alikuwa na ka presha ukiongeza ka viagra kazi kwisha,watu wangapi wanakuwa kwa presha mkuu mbona wengi tu.
mkuu sijaelewa swali lako au vp mkuu.Pj vipi tena, kufia guest au vipi??