Afghanistan: Wavulana na Walimu wa kiume ndio waruhusiwa kurudi Shule za Sekondari

Maneno ya kusadikika hayo,,,mwenyewe sijashuudia hicho kitu. Ndiyomaana nikakuomba uthibitisho/ushaidi

Wewe uko tandale cjui gongolamboto hujui chochote kinachoendelea nchi za wa2, unasimuliwa nawe unatuletea malalamishiyako huku bila kufanya research!

Kingine hao mahousegirl wako ambao wanatenganisha ndoa za watu huko uarabuni. Badala kufuata kilichompereka huko,yeye anaanza kutongoza wanamume wa watu ilihali wako kwenye ndoa. Hayo mengine sijayashuhudia.

Mara elufu uajiri mfanyakazi mhindi or muindonesia, mfilipini, nepal but co mwafirika hususani mbongo. Wengi wao wavivu wa kazi, viburi, malaya, muda mwingi yuko na smartphone. Kubali tu sisi siyo watu kazi, tumezoea kulalalala tuuu.
Kwahiyo kwa sababu wewe hauna exposure unaishi kwa maneno ya kusikia basi unahisi kila mtu yuko kama wewe? Kwani hizo nchi za kiarabu ni mbinguni au ni dili sana kwenda hadi udhani ni ngumu mtu kwenda na kushuhudia hayo?

Unataka nikuletee ushahidi gani nikutajie majina ya wanaofanya na wanaofayiwa hivyo ama? Acha kuropoka usiyoyajua buddah ukweli uko wazi na unajulikana tupo tulioshuhudia na kitu kama wewe haujawahi kukishuhudia wala kukisikia haimaanishi kuwa hakipo ni wewe na kukosa kwako exposure ndiyo kumefanya usishuhudie hayo mambo!
 
Wanawake wa kiislam mnadharauliwa na Wanaume wenu na mnaonekana hamna thamani huo ndiyo ukweli wenyewe acheni kujifariji na kujipa moyo
Dini ya ya kiislam ndio imekuja kumthamini mwanamke kumpa heshima yake kama mwanamke sio dini za kitwaghuti ambazo sasa huwezi mjua mwanamke wala mwaname wote wanavaa jeanz na kuji-expose maungo ya mwili na kutamanisha watu na ndio mana sasa magonjwa hayazuiliki tena kwa sababu hiyo., zinaa zimetaradadi kila pembe ya ulimwengu, sijui ubakaji na mambo kama hayo.

Mwanamke wa kiislamu aliyejiheshimu na kujistiri kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu siku zote hadhi yake inakuwa ya juu sana.

Ukitoa dini ya kiislamu dini zingine zote zilizobaki hakizungumzia haki za mwanamke mahali popote, ndio mana mnafika mpaka beinjing China kujadili haki za wanawake. Sisi waislamu Quran imetosha kabisa kujua kila mtu haki zake ni zipi na hatuna budi kuzipigania kwa vyovyote vile.

Naunga mkono juhudi za Taliban. Wapeni muda wasimamishe dola ya kiislamu. Hakuna mwanaume wa kiislamu anamdhalilisha mwanamke, Taliban wanatekeleza mafundish ya dini ya kiislamu.
 
Kama ndiyo hivyo mbona wanawake wengi wa kiislam huwa hawataki ndoa za mitala? Na mbona wapo wanawake wa huko huko uarabuni ambao nao siku hizi wanaiga umagharibi 'wanaharibiwa' na kina nani ikiwa kuna utawala wa kiislam?
 
Nafkiri hujafahamu mahali., waislamu hatumaanishi hakuna watu/mtu/mwanamke/mwaname ambaye hatendi dhambi kwa vyovyote vile, hilo halizuiliki, maelezo yangu ni kukufahamisha sharia ya kiislamu inavyotaka., Dini yetu imeweka wazi ukifanya dhambi malipo yake ni moto, ukifanya mema malipo yako ni pepo.
 
Unaweza kuolewa kwenye ndoa za mitala? Na nafsi yako ikaridhika
 
Nafkiri hujafahamu mahali., waislamu hatumaanishi hakuna watu/mtu/mwanamke/mwaname ambaye hatendi dhambi kwa vyovyote vile, hilo halizuiliki, maelezo yangu ni kukufahamisha sharia ya kiislamu inavyotaka., Dini yetu imeweka wazi ukifanya dhambi malipo yake ni moto, ukifanya mema malipo yako ni pepo.
Mkuu kama mtu analazimishwa kufanya kitu ambacho hataki na hajakiridhia nafsini mwake basi huyo anadharauliwa! Kumbuka binadamu ni kiumbe aliyepewa utashi!
 
Hamna sehemu nimeshabikia au kulaani wanaume kunyanduana maana hayo ni mahusiano yao hayanihusu, hivyo nishabikie au nilaani havinihusu, wakijifungia chumbani wafanye yao hiyo ni shida yao. Kero yangu ni ujinga wa kulazimisha watu kwenye mambo ya dini za kijinga kwa upanga au mabomu.
Kila mtu aachiwe uhuru wa kutumia akili sio mnakua kama mazombi nyote.
Kwani kanisa lako halifungishi ndoa Za jinsia moja?
 
Vipi na wale waalimu wa madrasa wanaolawiti watoto nao ndivyo Qur'an inavyowataka kufanya sio
Ni biblia ndivyo inavyowataka

10d835c9a8be18185e93eac72c86a739--marriage-equality-equal-rights.jpg
 
Ila huku ndiyo kuna wenye akili timamu co! Wanasagana, wanafirana kwa maana ushoga umeenea kila pahala, mabinti wanapigwa mimba vyuoni, sec na primary, hii ndiyo akili nzuri!!! Au na wewe ni mmoja wao wa hili!!!!
Mkuu kwani tangu ushoga,usagaji na mimba kwa mabinti ziwepo wewe umeathirikaje na hivyo vitu ukiachana na uathirika wa wahusika wa matendo hayo?

Mfano mtu kujihusisha na ushoga imewahi kupelekea wewe kukosa chakula au kukosa oksijeni?
 
Kwani wewe unajishughulisha Na ushoga ?
 
Kwani wewe ni shoga ?
Mkuu Mimi sio Shoga,Ila nauliza kwanini ukazane kutoa kibanzi ndani ya jicho la mwenzako Wakati jicho Lina boriti?

Lk 6:41-45

Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii? Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako. Kwa maana hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala mti mbaya uzaao matunda mazuri; kwa kuwa kila mti hutambulikana kwa matunda yake; maana, katika miiba hawachumi tini, wala katika michongoma hawachumi zabibu. Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake.
 
Dini ya ya kiislam ndio imekuja kumthamini mwanamke kumpa heshima yake kama mwanamke sio dini za kitwaghuti ambazo sasa huwezi mjua mwanamke wala mwaname wote wanavaa jeanz na kuji-expose maungo ya mwili na kutamanisha watu na ndio mana sasa magonjwa hayazuiliki tena kwa sababu hiyo., zinaa zimetaradadi kila pembe ya ulimwengu, sijui ubakaji na mambo kama hayo.

Mwanamke wa kiislamu aliyejiheshimu na kujistiri kwa mujibu wa mafundisho ya dini ya kiislamu siku zote hadhi yake inakuwa ya juu sana.

Ukitoa dini ya kiislamu dini zingine zote zilizobaki hakizungumzia haki za mwanamke mahali popote, ndio mana mnafika mpaka beinjing China kujadili haki za wanawake. Sisi waislamu Quran imetosha kabisa kujua kila mtu haki zake ni zipi na hatuna budi kuzipigania kwa vyovyote vile.

Naunga mkono juhudi za Taliban. Wapeni muda wasimamishe dola ya kiislamu. Hakuna mwanaume wa kiislamu anamdhalilisha mwanamke, Taliban wanatekeleza mafundish ya dini ya kiislamu.
zinaa zimetaradadi kila pembe ya ulimwengu.

taradadi! Hivi hili neno wafahamu maana yake au umejiandikia tu kwa vile lina pendeza masikioni mwako?

1632229207718.png
 
Kwani kanisa lako halifungishi ndoa Za jinsia moja?

Hayanihusu maana ni mambo ya wanaume kunyanduana kwa maamuzi yao, lakini huo ujinga wenu wa kulazimisha watu waabudu pumba zenu ndio sipendi.
Wewe vaa kanzu yako na kulea mindevu na kupayuka kwenye ibada zenu, ila usitulazimishie upumbavu wako.
 
Mkuu Mimi sio Shoga,Ila nauliza kwanini ukazane kutoa kibanzi ndani ya jicho la mwenzako Wakati jicho Lina boriti?

Lk 6:41-45

Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii? Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako. Kwa maana hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala mti mbaya uzaao matunda mazuri; kwa kuwa kila mti hutambulikana kwa matunda yake; maana, katika miiba hawachumi tini, wala katika michongoma hawachumi zabibu. Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake.
Mbona Yesu kabariki Huo mchezo?

10d835c9a8be18185e93eac72c86a739--marriage-equality-equal-rights.jpg
 
Hayanihusu maana ni mambo ya wanaume kunyanduana kwa maamuzi yao, lakini huo ujinga wenu wa kulazimisha watu waabudu pumba zenu ndio sipendi.
Wewe vaa kanzu yako na kulea mindevu na kupayuka kwenye ibada zenu, ila usitulazimishie upumbavu wako.
Kwa hivyo unsku
Mkuu Mimi sio Shoga,Ila nauliza kwanini ukazane kutoa kibanzi ndani ya jicho la mwenzako Wakati jicho Lina boriti?

Lk 6:41-45

Basi, mbona wakitazama kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako, na boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe huiangalii? Au, utawezaje kumwambia ndugu yako, Ndugu yangu, niache nikitoe kibanzi kilicho ndani ya jicho lako, nawe huiangalii boriti iliyo ndani ya jicho lako mwenyewe? Mnafiki wewe, itoe kwanza ile boriti katika jicho lako mwenyewe, ndipo utakapoona vema kukitoa kile kibanzi kilichomo katika jicho la ndugu yako. Kwa maana hakuna mti mzuri uzaao matunda mabaya, wala mti mbaya uzaao matunda mazuri; kwa kuwa kila mti hutambulikana kwa matunda yake; maana, katika miiba hawachumi tini, wala katika michongoma hawachumi zabibu. Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake.
Kumbe wewe watoto wa kike wa Afghanistan kutokwenda shule inakufanya ukose tonge ya ugali?
 
Kwa hivyo unsku

Kumbe wewe watoto wa kike wa Afghanistan kutokwenda shule inakufanya ukose tonge ya ugali?

Mnawakosesha shule kwa kulazimisha pumba za dini kwa watu, vaa makanzu yako na mindevu lakini usilazimishe watu.
 
Back
Top Bottom