kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,096
- 15,424
Nimegundua ntiba Bado ni mchezaji mzuri ila watanzania hawaujui mpiraHii game ya Senegal, ningejua.
Singeikosa
Nimegundua ntiba Bado ni mchezaji mzuri ila watanzania hawaujui mpiraHii game ya Senegal, ningejua.
Singeikosa
Wapiga ramli wekeni hela hapoEthiopia 6.00
draw 3.45
Drc 1.69
Mimi najipanga ya Congo.Hii game ya Senegal, ningejua.
Singeikosa
Haizidi mbwa wangu kwa ukaliGame kali
Huwa unatoa mbwa wako nje usiku au hata mchana!?Haizidi mbwa wangu kwa ukali
Aiseeee.Wapiga ramli wekeni hela hapo
😂Mnachanganya watu semeni Uganda anacheza na Congo brazaville na Ethiopia atacheza na Congo DRC sasa zote mnaandika congo tuwaeleweje?